Una hoja hasa !Ukonga liwe jimbo la mfano. Ikiwezekana watu wote wanaopenda demokrasia ya kweli na wenye uzalendo kwa Taifa letu, twende Ukonga siku ya uchaguzi kwaajili ya kulinda demokrasia. Tukiendelea kuogopa, hii biashara ya kijinga ya kununua viongozi itaendelea. Ni lazima ikomeshwe.
Kama Waitara hataki kutumikia wananchi, akafanye kazi zake binafsi lakini asiwachezee akili wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila polisi au askari yeyote wa nchi hii ana ndugu yake Ukongahuko ukonga mjiandae polis wote wa dar ffu kujaa huko kuhakikkisha mh. waitara anaibuka kidedea. pia mawakala wataingia vituoni baada ya saa 2
Ninachoona hapo ni kuwa hao bodaboda walikuwa hawajapewa pesa,amini kampeni zikiendelea utaona wanambeba kwenye pikipiki na bendera za CCM. Nishashiriki sana kampeni za CCM kipindi cha nyuma,watamtafuta mwenyekiti wa waendesha bodaboda na kumpa pesa za kutosha na baadae atapewa jukumu la kuwaunganisha bodaboda na CCM baadae mtashangaa wakiiunga mkono CCM na watakuwa tayari hata kuwashambulia. CHADEMA ina madhaifu sana katika kupiga kampeni ikitarajia kampeni za kujaza mikutano. Nina meeengi sana ya kuwaambia CHADEMA kwa nini hata madiwani wenu wananunulika kiurahisi as kabla sijaachana na siasa za TZ na kuzamia ng'ambo nimeshiriki sana nikitarajia Lowassa atakuwa raisi kupitia CCM.Amekimbizwa mithili ya kibaka aliyekwapua simu , amekabiliwa na tuhuma za usaliti , hii ni baada ya kwenda kuomba kura kijiwe cha bodaboda .View attachment 852851
Kwani kutimuliwa ni vurugu? Kwani kumsikiliza mtu ni lazima? Kwanini mnalazimisha kupendwa?Unashabikia Vurugu, kibao kikigeuka wakishughulikiwa ipasavyo zinakuja thread Za kusema wanaonewa
Hiu imekaa vizuri sanaAmekimbizwa mithili ya kibaka aliyekwapua simu , amekabiliwa na tuhuma za usaliti , hii ni baada ya kwenda kuomba kura kijiwe cha bodaboda .View attachment 852851
Kwa taarifa tulizonazo mpaka muda huu ni kwamba Waitara ametimuliwa , sasa kama rushwa itatembea basi sawa bali tunachofahamu ni kwamba hela yake italiwa bure tu , tegemeo la ccm acha liendelee kuwa polisi na tume , wananchi wamekwisha ikataa .Ninachoona hapo ni kuwa hao bodaboda walikuwa hawajapewa pesa,amini kampeni zikiendelea utaona wanambeba kwenye pikipiki na bendera za CCM. Nishashiriki sana kampeni za CCM kipindi cha nyuma,watamtafuta mwenyekiti wa waendesha bodaboda na kumpa pesa za kutosha na baadae atapewa jukumu la kuwaunganisha bodaboda na CCM baadae mtashangaa wakiiunga mkono CCM na watakuwa tayari hata kuwashambulia. CHADEMA ina madhaifu sana katika kupiga kampeni ikitarajia kampeni za kujaza mikutano. Nina meeengi sana ya kuwaambia CHADEMA kwa nini hata madiwani wenu wananunulika kiurahisi as kabla sijaachana na siasa za TZ na kuzamia ng'ambo nimeshiriki sana nikitarajia Lowassa atakuwa raisi kupitia CCM.
Kumkataa mtu ni vurguUnashabikia Vurugu, kibao kikigeuka wakishughulikiwa ipasavyo zinakuja thread Za kusema wanaonewa
Kwa hisani ya mkono wa chumaKufukuza mfukuzeni lakini kwenye sanduku la ndio mtashangaaa......Mshindi wa jimbo la Ukonga ni Bw....
Kwa uchafu huu wa Makonda ahamie Chadema,nitahama nchi.Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu nimekuwa nafuatilia sana post zako na haina shaka wewe ni mwanachama wa CHADEMA. Takupa udhaifu mmoja hai mmoja unaokikumba chama chenu na amini kabisa ninachokuambia.Mytake - Usaliti ni laana .
Zinduka na utoe kichwa chako ndani ya duburi ya Mwenyekiti wako. Jifunze kuweka akiba ya maneno kamanda.ngoja tuone mjomba , kila siku siyo jumapili .
Sio vijana wa bodaboda bali genge la wahuni waliopangwa maalum na yule mhuni mahanga.Amekimbizwa mithili ya kibaka aliyekwapua simu , amekabiliwa na tuhuma za usaliti , hii ni baada ya kwenda kuomba kura kijiwe cha bodaboda .View attachment 852851