MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
Wadau heshima kwenu, tuna harakati za mwezi
mmoja na nusu sasa, katika kuanzisha jumuiya kubwa tanzania, lenye jina
la tanzania graduate association, lengo letu kubwa ni kuweza kujiajiri
sisi wenyewe, kwani tumezungumza na tunaendelea kuzungumza na viongozi
mbalimbali kwa lengo la kupata ardhi kubwa kwa ajiri ya kilimo na
ufugaji, hivyo mpaka sasa tunaenda kuisajili wizara ya mambo ya ndani,
na wiki iliyopita tumemaliza kupitisha katiba ya jumuiya. jumuiya hii
itakuwa na mambo yafuatayo, graduate saccos, makampuni tofauti tofauti,
na pia tunalenga kuwa na benk yetu ya graduate, na pia kujiingiza kwenye
masoko ya hisa.
Lengo ni kupanuka tanzania nzima, kuwa na matawi kila wilaya, hivyo
milango ipo wazi kwa kila mtu kujiunga na sisi, tutakuwa na kikao siku
ya jumamosi, saa 8 mchana, ukumbi wa seminar pale chuo kikuu cha dar es
salam, angalizo, sisi hatuusiki na siasa na wala hatushabikii chama
chochote. kwa mawasiliano, 0757950376; pia tunaopatikana kwenye group la watsap kwa namba 0717309119/ 0757950376;
Asanten