Mkuu kuna form six leavers wengine wana wana ujuzi wa fani mbalimbali kuliko hata hao graduates.Hivi unajua kwamba kwenye taasisi nyingi tu au ofisi za umma kuna form six na four wengi tu?Na wengine walishafanya kazi huko lkn sasa hivi wapo mitaani kwa namna moja au nyingine?mkuu hatuwezi kubeba wote,ila kwa sasa tunaanza na hawa wenye ujuzi kwanza, kisha tutakuja na wengine, kwani wapo kwenye mipango yetu ya mda mrefu.