Ukombozi wa wasio na ajira

Ukombozi wa wasio na ajira

Jumamosi ni sabato ya bwana mungu wetu,afu wewe unasema umeandika kwa haraka coz uko kwenye majukumu ya kitaifa,wewe ni mwanasiasa lazima hutufai kiukweli ndugu yetu,sijui na sidhani kama uko serious na mradi kama unaanza na siasa wakati wewe una ajira tayari na vijana wenzako hawana,tunataka mpambanaji mwenzetu,fresh ideas asiye na ajira kama wewe tafadhali,next time uwe serious na biashara.
 
Hapana Catherine huu no uwanja na wanatoa maoni kama vijana Je@clouds uwezi kuaamini kuwa wanaweza kutusaidia vijana na ukweli uliopo kama hawatawahi basi watafika lakn wengine watakuwa wameshatimiza kwani hela ndio kila k2 ila vijana hawapaswi kuvunjika moyo...fanyeni kazi hakuna msaada mwingine ....
Kiukweli kufikia malengo sio kitu kidogo haswa ukizingatia hakuna pesa ya haraka nawapa hongera sana katika maamuzi yenu kwani hata mie nimeamua kulima kilimo cha mananasi ekari 10 kwa kumwagilia naam fanyeni kazi kwani kidogo_kidogo ndio mwendo...
 
VP graduate waliokua nje ya Dar?
Wadau heshima kwenu, tuna harakati za mwezi
mmoja na nusu sasa, katika kuanzisha jumuiya kubwa tanzania, lenye jina
la tanzania graduate association, lengo letu kubwa ni kuweza kujiajiri
sisi wenyewe, kwani tumezungumza na tunaendelea kuzungumza na viongozi
mbalimbali kwa lengo la kupata ardhi kubwa kwa ajiri ya kilimo na
ufugaji, hivyo mpaka sasa tunaenda kuisajili wizara ya mambo ya ndani,
na wiki iliyopita tumemaliza kupitisha katiba ya jumuiya. jumuiya hii
itakuwa na mambo yafuatayo, graduate saccos, makampuni tofauti tofauti,
na pia tunalenga kuwa na benk yetu ya graduate, na pia kujiingiza kwenye
masoko ya hisa.

Lengo ni kupanuka tanzania nzima, kuwa na matawi kila wilaya, hivyo
milango ipo wazi kwa kila mtu kujiunga na sisi, tutakuwa na kikao siku
ya jumamosi, saa 8 mchana, ukumbi wa seminar pale chuo kikuu cha dar es
salam, angalizo, sisi hatuusiki na siasa na wala hatushabikii chama
chochote. kwa mawasiliano, 0757950376; pia tunaopatikana kwenye group la watsap kwa namba 0717309119/ 0757950376;

Asanten
 
Jumamosi ni sabato ya bwana mungu wetu,afu wewe unasema umeandika kwa haraka coz uko kwenye majukumu ya kitaifa,wewe ni mwanasiasa lazima hutufai kiukweli ndugu yetu,sijui na sidhani kama uko serious na mradi kama unaanza na siasa wakati wewe una ajira tayari na vijana wenzako hawana,tunataka mpambanaji mwenzetu,fresh ideas asiye na ajira kama wewe tafadhali,next time uwe serious na biashara.
Sabato halafu unafanya ngono jumamosi jumamosi k.enge maji ww..!! Mtu katoa wazo zuri unaanza kuleta u.....*a

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wazo lako/Lenu
ni zuri sana, Ila ushauri wangu ni kwamba anzeni wachache na anzeni
kidogo kidogo hayo ya Benki na kujiingiza kwenye masoko ya hisa yana
hitaji long plan ni mambo ya my 20 years hado 30 years na ili uweze
kuingia kwenye masoko ya hisa inategemeana na matokeo ya unacho fanya.

Hata mkipata aridhi kama hakuna mipango na commitment ni kazi bure mkuu,
so ni lazima kikundi chenu hata watu 10 muanze kuliko kusubili
kukusanya watu wengi sana ndo muanze ambapo hapo kila mtu anamategemeo
yake.

Commitement ni mihumu kuliko vitu vyote hapo mnaweza ona mko wengi kumbe
walio commited ni wa tatu tu, na si washauri kusajiri association ni
bora mjipange msajiri kampuni kabisa ila ni baada ya kuwa mmeanza
kazi.

mkuu nashukuru kwa ushauri wako, tunaufanyia kazi
 
Jumamosi ni sabato
ya bwana mungu wetu,afu wewe unasema umeandika kwa haraka coz uko kwenye
majukumu ya kitaifa,wewe ni mwanasiasa lazima hutufai kiukweli ndugu
yetu,sijui na sidhani kama uko serious na mradi kama unaanza na siasa
wakati wewe una ajira tayari na vijana wenzako hawana,tunataka
mpambanaji mwenzetu,fresh ideas asiye na ajira kama wewe tafadhali,next
time uwe serious na biashara.

mkuu, naisi usikatishe watu tamaa, tunaitaji sana watu wenye ajira, kwa maana, kama association ikiwa na watu ambao hawana ajira, pia hilo ni tatizo, kwa sababu kuna mambo mengine yanaitajika fedha kwenye project, je tutembeze bakaru kwa wanasiasa??? na tukifanya hivyo tutatekwa na wanasiasa. kwa hiyo watu wote wanakribishwa, wenye ajira na wasiokuwa na ajira. asante
 
VP graduate waliokua nje ya Dar?

mkuu, nimesema hili jambo ni tanzania nzima, kwa hiyo mliopo nje ya dar, tunawaitaji sana, kwa maana nyie ndio mtakuwa wasimamizi wetu kwenye branch za mikoani. asanten na karibuni
 
Hapana Catherine
huu no uwanja na wanatoa maoni kama vijana Je@clouds uwezi kuaamini
kuwa wanaweza kutusaidia vijana na ukweli uliopo kama hawatawahi basi
watafika lakn wengine watakuwa wameshatimiza kwani hela ndio kila k2 ila
vijana hawapaswi kuvunjika moyo...fanyeni kazi hakuna msaada mwingine
....
Kiukweli kufikia malengo sio kitu kidogo haswa ukizingatia hakuna pesa
ya haraka nawapa hongera sana katika maamuzi yenu kwani hata mie
nimeamua kulima kilimo cha mananasi ekari 10 kwa kumwagilia naam fanyeni
kazi kwani kidogo_kidogo ndio mwendo...

hatuwezi kuepuka clouds, kwa maana huko ndipo tutakapo pata vijana wengi wa kuwa nao. na tunategemea wizara ya mambo ya ndani ikitupa kibali, mara 0ja tutaanza kuitangaza mweye media.
 
Vigezo kwa anaye hitaji kujiunga
mkuu, kigezo ni wewe kuwa graduate, au kama siyo graduate, basi uwe na fani yoyote ile, lengo ni kujikwamua na tatizo hili la ajira, na siyo kubaguana kwa aina yoyote.
 
pia wadau tunakaribisha mawazo yoyote yale, juu ya kuimarisha jumuiya hii, namba zangu zipo wazi tu.
 
Wadau heshima kwenu, tuna harakati za mwezi
mmoja na nusu sasa, katika kuanzisha jumuiya kubwa tanzania, lenye jina
la tanzania graduate association, lengo letu kubwa ni kuweza kujiajiri
sisi wenyewe, kwani tumezungumza na tunaendelea kuzungumza na viongozi
mbalimbali kwa lengo la kupata ardhi kubwa kwa ajiri ya kilimo na
ufugaji, hivyo mpaka sasa tunaenda kuisajili wizara ya mambo ya ndani,
na wiki iliyopita tumemaliza kupitisha katiba ya jumuiya. jumuiya hii
itakuwa na mambo yafuatayo, graduate saccos, makampuni tofauti tofauti,
na pia tunalenga kuwa na benk yetu ya graduate, na pia kujiingiza kwenye
masoko ya hisa.

Lengo ni kupanuka tanzania nzima, kuwa na matawi kila wilaya, hivyo
milango ipo wazi kwa kila mtu kujiunga na sisi, tutakuwa na kikao siku
ya jumamosi, saa 8 mchana, ukumbi wa seminar pale chuo kikuu cha dar es
salam, angalizo, sisi hatuusiki na siasa na wala hatushabikii chama
chochote. kwa mawasiliano, 0757950376; pia tunaopatikana kwenye group la watsap kwa namba 0717309119/ 0757950376;

Asanten

Ni wazo zuri lakini limekaa kibaguzi!Unaposema ni kwa graduates pekee ina maana hawa wengine form 4 &6 leavers wao watasaidiwa na nani?Au wao si vijana wa kitanzania!
 
Idea nzuri sana vijana.
Nilitaka anzisha mwaka Jana lakini wenzangu hawakua commited. Idea
ilikua kupata eneo rufiji basin by that time. I wish kujoin kama
mnamaanisha kiukweli na si kwa sababu huna ajira ndio mnakuja na plan
iyo na baada tuu ya kupata ajira mnaitia kapuni.HONGERENI

mkuu nashukuru kwa ushauri, ila wapo wenye ajira na ambao hawana ajira, so ondoa shaka.
 
mkuu, naisi usikatishe watu tamaa, tunaitaji sana watu wenye ajira, kwa maana, kama association ikiwa na watu ambao hawana ajira, pia hilo ni tatizo, kwa sababu kuna mambo mengine yanaitajika fedha kwenye project, je tutembeze bakaru kwa wanasiasa??? na tukifanya hivyo tutatekwa na wanasiasa. kwa hiyo watu wote wanakribishwa, wenye ajira na wasiokuwa na ajira. asante

Daaah kumbe mnahitaji wenye ajira.....nilipata furaha imeyeyuka kama barafu kwenye sufuria ya moto
 
Ni wazo zuri lakini
limekaa kibaguzi!Unaposema ni kwa graduates pekee ina maana hawa wengine
form 4 &6 leavers wao watasaidiwa na nani?Au wao si vijana wa
kitanzania!

mkuu hatuwezi kubeba wote,ila kwa sasa tunaanza na hawa wenye ujuzi kwanza, kisha tutakuja na wengine, kwani wapo kwenye mipango yetu ya mda mrefu.
 
Ni wazo zuri sana keep it up, sie tulianza wachache kama 24 hivi tulikua graduates kutoka vyuo mbali mbali kama nyinyi na sasa tuko mbali sana japo ilitubidi kugawanyika makundi mawili baada ya kugundua miongoni mwetu wapo watu waliokuwa na self ambitions zao na tukabaki kumi tu ambao ni single minded.

Nitandaa uzi baadaye jinsi ya tulivyoanza mpaka tukafikia, ila idea yenu ni idea nzuri sana, keep it up
 
Amen mkuu ukianzisha naoma untag(kama hutojali) ili nisipitwe
 
kwa hakika ni wazo zuri na sisi wa manyara ambao hatuweza kufika huko mtupatie feed back ya yatakayojiri huko
 
Back
Top Bottom