Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 803
- 867
Huelewi topic, kaa utulie.Utakuta mleta mada ni baba wa Familia, watoto wake wamepata baba Zezeta kwelikweli.
Kwahiyo Jeshi lifutwe ili kila mmoja apambane kula bata?
SAWA Gen Z.Nyerere anaabudiwa tu, aliongoza Tanzania ya giza !
Huko CCM wanawavutisha mihadarati kwa nguvu?
Hapana mkuu.Huko CCM wanawavutisha mihadarati kwa nguvu?
Kipigo ni constant tuache ubishi😂😂
Mlamba mataqo ya watawala vilaza!Huelewi topic, kaa utulie.
Wazungu wakiuonea aibu uongozi wa nchi uliopo madarakani hutumia vibaraka wao, hizi siasa nyingi za kutafuta uhuru wa pili zinafadhiliwa na hao hao wenye hasira na uongozi wa SSH.
Nakubaliana na aliyesema 'ni Bora kufa ukiwa huru kuliko kuishi kama mtumwa'
Zipo za aina mbili kuna wale walijisajiri kwa majina yao na vitambulisho ameviasubmit.Hizi blue tick za JF zinatolewa kwa vigezo gani?
Mbona mpaka machizi wanazo!.
Wewe ni zezeta kweli.Huelewi topic, kaa utulie.
na mimi nasema wapigwe tu maana hakuna namna nyingine sasa 🐒Mzee Nyerere na wenzake walimaliza zamu yao ya ukombozi wa Afrika.
Sisi tumebaki na zamu ya kupambana na maisha yetu, kulipa bili na kutafuta hela za kula bata kidogo.
Kujifanya mkombozi wa awamu ya pili ni kiherehere cha kutafuta kupigwa ili ulie, na ukipigwa ukakaa kimya unapigwa tena na tena ili ulie, mpaka ubaki unalia kama mbwa koko aliyekwama kwenye mtego wa kuku bandani.
Linda afya yako ya akili, pambana na hali yako, kula bata kwa kiwango chako!
Nanukuu hapa: "Linda afya yako ya akili, pambana na hali yako, kula bata kwa kiwango chako!"Mzee Nyerere na wenzake walimaliza zamu yao ya ukombozi wa Afrika.