Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,684
- 6,409
Hivi nani aliyewaleta hawa kunguru weusi wa Zanzibar?Yulemzee nikimfikiriaga, sjui alikuwa anajikuta nan katuletea wahindi yamejazana kama nyanya,yanasumbua mpaka sasa. hapo ndonlipo mshusha vyeo

Pana laana kali sana mahali paleDodoma hapapendezi sijui kwanini?