Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,845
- Thread starter
- #61
Dah siamini ujue.. kweli kukichwa kutapambazuka.. Nimekupa like YEHODAYA sasa naomba tuwe marafiki no hate no fearModerators naomba mtoe pongezi kwa mleta mada hoja yake imefika bungeni kuhusu break down ya gharama
Mimi CCM huwa napingana naye kila kona lakini leo kashusha hoja ya nguvu hongera kwake Mshana Jr
Haya ndio matumizi mazuri ya mtandao unashusha hoja za nguvu hadi bunge linaahirisha shughuli zske
Mshana jr hoyee