Ukokotoaji wa bei za mafuta yanayopokelewa bandari ya Dar es Salaam (mfano petrol/lita)

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
1. Total Cost (CIF to Dar Port) = 1162 Tshs/Lita.

Then, LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES.

2. Wharfage = 20.6 Tshs/Lita

3. Railway Development Levy (1.5% CIF) = 17.4 Tshs/Lita.

4. Customs Processing Fee = 4.8 Tshs/Lita

5. Weights & Measures (WMA) Fee = 1.0 Tshs/Lita

6. TBS Charge = 1.2 Tshs/Lita

7. TASAC Fee = 3.5 Tshs/Lita

8. EWURA Fee = 6.1 Tshs/Lita

9. Fuel Marking = 14.1 Tshs/Lita

10. Demurrage Costs = 5.5 Tshs/Lita

11. Surveyors Cost = 0.18 Tshs/Lita

12. Financing Cost = 11.6 Tshs/Lita

13. Evaporation Losses = 5.8 Tshs/Lita

14. Fuel Levy = 413. Tshs/Lita

15. Excise Duty = 379 Tshs/Lita

16. Petroleum Fee = 100 Tshs/Lita

17. Oil Marketing Companies Overheads & Margins = 123 Tshs/Lita

18. Charges Payable to Executive Agencies = 1.0 Tshs/Lita

19. Service Levy Payable to Local government authorities (Ushuru wa Halmashauri~ Wholesale) = 5.7 Tshs/Lita

Total Wholesale Price Cap = Tshs/Lita 2275.

Then
1. Retailers Margin = 108 Tshs/Lita

2. Charges payable to Executive Agencies = 5.44 Tshs/Lita

3. Transport Charges (Local) = 10 Tshs/Lita

4. Service Levy payable to Local government authorities (Retail) = 6.1 Tshs/Lita

Jumla kabisa bei ya rejareja vituoni = 2405 Tshs/Lita.

######################


Utitiri mkubwa sana wa Kodi kama hizo ndio unapelekea bei ya mafuta kupanda sana.

Nini kifanyike ili kupunguza kodi hizi?

Kupanda kwa bei ya mafuta kulimsumbua sana JK, at least JPM aliweza kudhibiti,sasa mtihani umehamia kwa Samia,je ataweza??
 
Duuh kweli kuna utitiri wa kodi ambao mnunuzi wa mwisho ( final consumer) anaubeba. Kwa hali ilivyo no lazima nauli za magari zitapanda, na zikipanda tu mfumuko wa bei hautakwepeka. Hapo wananchi ndio tutaanza kuisoma namba.
 
Kodi nyingi ni wizi mtupu.
Sasa railway development fee wala hata hatuoni faida yake haipaswi kuwepo hapo.
Ewura na tasac zinatakiwa ziwe tsh 1.5
 
Back
Top Bottom