Uko wapi Eliza?

Uko wapi Eliza?

Pole mkuu, ila huyo dogo umri wake bado sana, bado hawezi kufocus kichwa kina moto. Japo sijajua we una umri gani, huenda mnaendana.

Unaumizwaje akili na dogo kama huyo bana, ila katakutafta inaonekana kamekuelewa.
 
Ukikutana na Msichana saizi yako kwenye seat ya basi. huo ni mtego kuwa Makini.
Majini yanapenda sana kutake attention na kumpa mitego Mtu wakati wa safar.
Surya nia yao haswa huwa n nn mkuu🤔
 
Pole mkuu, ila huyo dogo umri wake bado sana, bado hawezi kufocus kichwa kina moto. Japo sijajua we una umri gani, huenda mnaendana.

Unaumizwaje akili na dogo kama huyo bana, ila katakutafta inaonekana kamekuelewa.
Nina 25 kwa sasa mkuu. Moja ya wazo nililonalo kwa sasa ni kuwa na mwanamke wa uhakika nimchumbie kabisa, na Eliza ndo kapita humo humo kwenye mawazo yangu
 
Vile siku amefika, jioni yake simu ilidondokea chooni (si unajua vyoo vya shimo), imemfanya akose mawasiliano na wewe.

Endelea kuvumilia hadi pale atakaporudisha laini hewani kisha aazime simu ili apate kuwa hewani. Na wewe usisahau kuipigia namba yake kutwa mara tatu.
 
To destroy your destiny
kwa Kupandikiza magonjwa ukilala nae, kumalizwa nguvu, unabakizwa empty
Kuwekewa vifungo au vikwazo vya kimaisha.
😯😯 asante kwa maelezo mkuu... ntalifatilia kwa kina hili.
 
Vile siku amefika, jioni yake simu ilidondokea chooni (si unajua vyoo vya shimo), imemfanya akose mawasiliano na wewe.

Endelea kuvumilia hadi pale atakaporudisha laini hewani kisha aazime simu ili apate kuwa hewani. Na wewe usisahau kuipigia namba yake kutwa mara tatu.
😂😂 dozi, au sio dokta
 
Back
Top Bottom