Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,673
Mbinu hiyoKuna duka moja mimi kila jioni lazima nichomoke kwenda nunua vocha..
Kuna mdada huyo yani ni hatari. Acha kabisa .
Mbinu hiyoKuna duka moja mimi kila jioni lazima nichomoke kwenda nunua vocha..
Kuna mdada huyo yani ni hatari. Acha kabisa .
Atapatikana tu mkuu endelea kumtafutaWana makasiriko mkuu, alafu me namaanisha kabisa, hata sasa hapatkani yani
Aliyeokoka haolewi au hatongozwi? Unatumia neno wokovu vibaya usipokuwa makini 30+ ikifika utaokota hata mlevi wa chibuku.Eliza nipo hapa...
Saivi nimeokoka...
We si ukikataa kuokoka, unanitafutia Nini...
Hapana mkuu,I'm just kidding to her 😔Bitter truth🍦
Nashukuru kama umenielewa, tuendelee kumuombea mwamba ampate Eliza 😀Oh, naelewa mkuu👍
Kimefungwa na rababendiNiliiona mkuu, n kiswaswadu flan hv
Apo napiga msimu mmoja nasepa mkuu, haitokuwa na athari kwa wanaotaka kuendelea na zao za asili. Kwa watumiaji..... tutavumiliana tu bila kujua wataathirika kwa kiwango kipiStori tamu sema umenikera hapo kwenye mifuko ya mbegu za kisasa yaani unapeleka mbegu za kisasa kijijini wakati huko kuna mbegu za asili, kwa hiyo unaenda kuua mbegu za asili ili iweje? Kwamba uonekane wa mjini sana au ili upate faida nyingi bila kujali athari kwa watumiaji..
Dah huu umjini utatufikisha pabaya
HAYO MA GMO HAYAFAI
🤔 ndo kusema kwamba kacheza na hisia zangu?, na iweje sim kazimaMapenzi na wanawake ni vitu vya kijinga sana.
Mapenzi ni mchezo wa hila na unafiki, kama hujui kucheza na hisia za watu daily utakuwa mtu wa kulialia kwa sababu ya mapenzi.
Huyo Eliza usikute alikuwa anakuigizia tu, ulikuwa kwenye himaya yake.