Tumeenda vizuri na hili mbunge la kutafuta baba mpotevu. Ila kitu kimoja ndugu Mentor ningependa kuongezea hapa kuhusu hawa mabinti wa humu JF. Na huyo Kiranga wao.
Mi naona kama wana underestimate sana mapenzi ya baba kwa mtoto. Mtoto anakaa tumboni mwa mama, lakini nakuhakikishia hakuna faraja inafanana na ile unaipata unapojua mtoto huyo tumboni umeweka wewe. Ufahamu ule unapandisha sana thamani ya huyo mama aliyebeba huyo mtoto wako. Furaha inaongezeka mtoto huyo anapokuja kutoka sasa, na wewe unajiona katika huyo. Sasa unakuwa na vitu viwili vya thamani sana katika maisha yako: mama na mtoto wako.
Hapa lazima kulikuwa na conflict ya si mtoto wangu. Hakuna baba mwenye akili timamu atakataa mtoto wake. Pigia mstari neno akili timamu. Mimi namjua mtu ambaye alimzalisha mwanamke mmoja kwa taarifa ya siri kuwa mume alikuwa hana kizazi. Huyu mwanamume aliteta nami akasema hakuna kitu kinaumiza roho yake kama kuona mtoto wake analelewa na mtu ambaye si baba yake wakati haiwezekani kutangaza rasmi nini kilifanyika pale kijijini. Anasema nilifanya kosa sana kukubali kumzalisha mama yule. Anajutia kukosa haki ya kujulikana yeye ndiye baba wa mtoto yule, ambaye hivi karibuni anamalizia masono yake ya Advanced level.
At least you are honest King'asti. I like honesty. Hii misimamo yako ni mapenzi ni reverse; inakuwa hivi, una mapenzi makubwa sana na mtu ambaye alikunyima mapenzi, kwa hiyo unampunish kwa rejection. Ni kama kesi ya mwanamke, au hata mwanamume anapasua windscreen ya gari Benzi kujua mume katembea na mwanamke mwingine. Hapo utasema yule anamchukia mume? No.... anampenda mno.
Love is very strange; its very complex. Una-project hate katika maneno yako, kumbe ukweli hasa ni kwamba you are protesting. Kuna mapenzi ya mtu umekosa na sasa unaprotest. Wewe na huyu anayetafuta baba mnafanana sana, ila mumetofautiana tu approaches!
Haa! we Kiranga, bado upo kwenye computer tu mpaka saa hizi? Utabishana kuhusu hili mpaka saa ngapi? Ninavyoona wewe sasa ndo unatafuta tatizo kuhusu tatizo linalohusu tatizo ambalo si tatizo. Si ukalale tu sasa! Unajua ni saa tano za usiku saa izi?
Could be true about me on this one. Mie napenda kweli kweli nnapopendwa. Nisipopendwa nami sipendi kabisaaa! Mtu aisewajibika namuadhibu kwa kutomuwajibisha kabisa! Tena ole wako niwe nimefanikiwa. Mmmh, naona huruma manake i will flash my money before your eyes (hahaha, nakuambia samahani baba siwezi kukusaidia manake.kuna nyumba ya wazee tingatinga wana hali ngumu sana, nimewaahidi msaada)
kwa baba alienitelekeza kwa makusudi bila sababu nzuri, namuhitaji Mungu aingilie.kati huo msamaha maana mie sio Yesu na wala simfananii.
Could be true about me on this one. Mie napenda kweli kweli nnapopendwa. Nisipopendwa nami sipendi kabisaaa! Mtu aisewajibika namuadhibu kwa kutomuwajibisha kabisa! Tena ole wako niwe nimefanikiwa. Mmmh, naona huruma manake i will flash my money before your eyes (hahaha, nakuambia samahani baba siwezi kukusaidia manake.kuna nyumba ya wazee tingatinga wana hali ngumu sana, nimewaahidi msaada)
kwa baba alienitelekeza kwa makusudi bila sababu nzuri, namuhitaji Mungu aingilie.kati huo msamaha maana mie sio Yesu na wala simfananii.
Kwani ni lazima kuwa kwenye computer kupost JF?
Halafu ikiwa saa tano usiku kijijini kwenu ni saa tano usiku dunia nzima?
How parochial.
Neno parochial ndiyo lililozaa neno parokia katika madhehebu ya katoliki, likionesha udogo wa eneo la mamlaka. Lakini ukilichambua neno hili kwa taaluma ya kutafsiri fasihi za kiingereza, umelitumia hapa kudharau uwezo wangu wa kufikiri kwa kuwa linamaanisha ufupi wa fikra. Nakupa taarifa sasa kuwa mimi sina fikra fupi kama unavyodhani. Upo hata uwezekani mimi nikawa si mwenzio. Kukuambia wewe kwamba saa hizi ni saa tano za usiku hapa nilipo kuna tatizo gani? Na kukuambia wewe kuwa upo kwenye computer kupost maneno kwenye JF kuna uongo gani hapo? au ulitaka nitaje aina ya computer ambayo unaitumia? nitaijuaje? Sidhani kama unafikiri sawasawa wewe....
Your thinking is parochial because you intimate that your time zone should be significant to me. On the internet. Without knowing where I am. Surely you don't think the entire planet is on one time zone? Do you belong to the Flat Earth Society by any chance?
Your thinking is parochial because you assume I am using a computer, while I am not.
Nani anafikiri sawasawa sasa?
Now am grown up na namhitaji Baba yangu kuliko kitu chochote, walau kumuona then i think my Life will be complete.
You say you are NOT using a computer to be online. My records indicate you've been online for over ten hours between 14.00 hrs yesterday and the time I submit this post, which is 00.51 hrs today. It is not possible to be online using anything that is NOT a computer or something without computer capacity. This means you must be one big liar!
On the question of time zones, I don't find a problem asking a person to go to sleep at any time zone. What has sleep got to do with time zones? You must have a very small IQ.
hahaha, believe me you; i wouldnt care the less about my biological father. The good explanation is still there. Unless hakujua kama nipo, na from the moment alipojua alichukua hatua gani kuhakikisha anapata access ya kuwa nami. Na pamoja ya yote, that mzee alie nilea, mzee Mtambuzi mwenyewe, will always be my darling dad! Baba sio mchangia mbegu aisee. Its about the sleepless nights and the endless bills! I will always respect him for all his sacrifices (angeweza kusquander vijisenti vyake akaacha kutusomesha!)
im serious, nna roho ya jiwe towards rejection. You reject me, i will reject hadi kivuli chako, lol
Bishanga mtoto anakutafuta.
ha ha ha ha ha...you made my day with this nice sense of humor.
You continue to prove your parochial ways.
The word liar is a heavy one, heavier still is the adjective "big". One ought to be able to prove assertions whenever "big liar" is used. Lest the accuser turns accused. If you can't prove that I am a big liar, you become the big liar.
I am multitasking online almost 24/7. I have a 4G, connected, phone with an unlimited data plan and ubiquitous Wi-Fi at home, where else could I be? Check my profile any second of the day, unless there is some Extinction Level Event or category 5 hurricane in my locality, you will see me logged online.
Kupost muda mrefu JF ndiyo proof natumia computer? Hujui kuna watu washaacha kutumia computer?
Halafu acha kubadili maneno kutoka computer kwenda "something with computer capacity". What exactly is "computer capacity"?
Kwenye time zones umeeleza kabisa kwamba ni saa tano usiku kwa nini silali. Kama saa haikuwa muhimu kwa nini umeitaja? Kubali tu ulifikiri parochially kwamba ni lazima niwe kijijini kwako.
IQ is but a fad for nincompoops like you who swallow things wholesale with no investigation.
For a Highlander your vision is set so low!
I see. Now I understand why you are so empty in thought. You are jobless and confined to your home, and probably surviving on food stamps since you belong to that other time zone.
Inane thought can be expected from anybody surviving on food stamps at home. I'll forgive you. The jargon you've tried to project here about 4Gs is most likely nothing more than a dark alley to hide your mideocrity:
So you are multitasking online almost 24/7, huh! And you have a 4G, connected, phone with an unlimited data plan and ubiquitous Wi-Fi at home, where else could I be? Of course you have no where else to be. You are jobless!!!
Do something good for yourself at least for once. Get yourself a job and get out of food stamps at that time zone away from East Africa. I'll pray to God you somehow get yourself something to do. Maybe that'll rid us of all the hogwash you post here to waste people's time.
Hii topic inafanana na hali ya nchi yetu Tanzania.
Yaani tunajua tatizo lilipo (chama tawala/viongozi tulionao sasa/mama) lakini tunalifumbia macho in th excuse that kama baba alitupenda kwanini aliondoka?
1. Hatujui mama alimfanya nn akaondoka.
2. Hatujui huko alikokwenda hata kama bado yu hai...lakini ndo kwanzaaa tunamtupia mawe.
3. Hatujui labda na yeye anamtafuta bintiye.
I call upon u oh great thinkers in Kiranga King'asti Nyani Ngabu Highlander et al....hebu for once tuhoji juu ya usahihi wa ujumbe wa mama (she is not an angel).
NB: (mtanisamehe kwa lugha kali) Huu upuzi mnaosema eti akae apige magoti amshukuru Mungu kwa mama yake...mara oh aende kumshukuru sana mama yake kwa kumlea hauna sense yoyote. Mama wajibu wake ni kwa wanae aliowazaa(.) na yeye asingetimiza wajibu huo tungemlaumu. KULEA MTOTO NI YOUR F**** RESPONSIBILITY AND NOT A FAVOR TO THAT KID....ULIMLETA UMTUNZE.