Jamani, anamtafuta baba yake, hayo mambo ya kumkatisha tamaa ni ujinga, kama baba yake amekosa, yeye atamsamehe na siyo nyie, kwanza hajui the other side of story from his father. Anasema hajawahi kumtia machoni!
Huko sasa ni kurukia kuhitimisha!
Watu hamjui hali aliyonayo huyo atafutwaye. Ikiwa ni mgonjwa aliyepooza je?
Ingekuwa labda inajulikana wazi kuwa huko aliko ni anaponda raha tu hapo ningeelewa kwa nini mnasema hivyo.
Lakini hapa ni kwamba binti hajui huyo anayedhaniwa kuwa ni baba yupo wapi.
Mambo ya nini kitatokea pindi ampatapo hayajulikani. Kama inaweza kuwa balaa pia inaweza kuwa fanaka vilevile!
Na huwezi kujua lipi ni lipi hadi utakapompata.
Kwa kuongezea inawezekana hata huyo baba'ke nae anamtafuta mtoto. Au hajui kama alishawahi kumpa mimba mwanamke huko nyuma kama alikuwa ni mtu wa kupita (Issue kama hii ilishamtokea Anko'angu anakuja kuletewa mtoto ana miaka karibu 20, anaambiwa ni mtoto wake na yeye hakuwa na kumbukumbu zozote kama alishawahi kumpa mimba msichana hapo kabla. Kumbe yl mwanamke aliipata kipindi hicho jamaa anamaliza A'level na mawasiliano kulikuwa hamna. Alienda kuangalia DNA mtoto wa kwake)
One cannot be him/herself without a father.
Nitake radhi.
I doubt you understood.
Umeniomba nikuulize kwa nini, na mimi nimekuuliza kwa nini nikuulize kwa nini?
Sijagusa pombe tangu December 30 2012. Kutokunywa pombe kulikuwa ni New Year's resolution ninayoitekeleza mpaka sasa.
Kama unafikiri Kiranga wa jana ni wa leo utashangaa ukigundua Kiranga anabadilika kila nanosecond.
To the contrary.
One cannot be oneself without letting go a father.
Even the good book says that in the quest for autonomy and starting a new family one will leave one's parents.
Why the clinging?
Soma original post baba alikuwa na contact na mtoto mpaka miezi sita, akasepa. So it's not like hana sehemu ya kuanzia kama anataka relationship na mwanae.
Anything posted on JF is subject to a public debate.
Inawezekana kabisa anachotafuta kutoka kwa baba yake akipate kutoka ndani yake.
Halafu unasema hajaomba ushauri umesoms original post? Unajua kusoma au ndo kati ya wanaoandika bila kujua kusoma?
Anything posted on JF is subject to a public debate.
Inawezekana kabisa anachotafuta kutoka kwa baba yake akipate kutoka ndani yake.
Halafu unasema hajaomba ushauri umesoms original post? Unajua kusoma au ndo kati ya wanaoandika bila kujua kusoma?
Soma original post baba alikuwa na contact na mtoto mpaka miezi sita, akasepa. So it's not like hana sehemu ya kuanzia kama anataka relationship na mwanae.
....mnh,
ashakum si matusi, hivi King'asti, hapo ulipo na kwa umri huo upate DNA result kwamba yule mzee
sio Biological dad wako!, huitakuumiza kichwa Baba yako ni yupi na yupo wapi?
Acha bana....
Huyu Binti hajawahi kumuona baba yake mzazi, ana kila haki kutaka kumjua hata kama hatamfaa kwa lolote maishani. It is 'a missing link!' and can happen to any of us na umri huu. :shut-mouth:
Nyani Ngabu nimeshangazwa sana na majibu ya wadada wote wa humu JF na kaka yao Kiranga.
1. Why are they being so pessimistic?
2. Kwanini wote wanalalia upande wa mama? For one kama mama kweli anampenda binti yake angemkalisha chini na kumweleza yote. LABDA wakati umezaliwa baba yako alikataa kuwa wewe si mtoto wake hivyo akaamua kuondoka. Halafu binti aamue. Lakini eti kumwambia baba yako alikufa mv bukoba gives me doubt juu ya kuhusika kwa mama huyu kwenye mbinu chafu ya kumficha mwanaye.
3. Huyo baba anaweza kuwa na hamu sana ya kujua whereabouts za mwanae but think of it this way: baada ya miez sita akakoroFISHWA na mama mtoto ikambidi ampe nafasi/uhuru..wakati huo mtoto anaitwa bebii. Baada ya mwaka akabatizwa. Different name. Mama akaja kuhama and all that.
Do not discourage the lady...huenda na baba yake pia anamtafuta.
4. HOWEVER: I dont deny the fact kwamba baba mtu aliwatelekeza akawaacha. Hiyo bado haihalalishi yeye kutotafutwa. Mchana huu nimeongea na ndugu yangu niliyemtolea mfano hapo awali nikamuuliza kwanini uliamua kumtafuta baba yako hata baada ya mama yako kukwambia alikataa na kuondoka? Akasema sikumtafuta koz of msaada wowote ama nini...nilipomwona na kumfahamu nikapata 'ahaa' moment. Yani unaelewa why did what you did.
5. Tusiende mbali sana kwenye conclusion ya HATA UKIMPATA ATAKUKATAA tumshauri kwa wanaojua majina ya waliofariki kwenye meli ile yalipo. Then hizo conclusion zenu ziwe tu kama angalizo...kuwa mdogo/mwanetu unapoendelea kumtafuta baba yako beware do not always expect a positive answer from him.
Ila hii ya Kiranga sikubaliani nayo. Knowing both your parents plays a very big role in self realization.
How did you come into being?
hahaha. Usinchekeshe mie. Ili mtu ama mwanaume to be specific, aniudhi; he or she really needs to be significant!Mmmmh! Mwanamke una roho ya korosho wewe?! Ni mwanaume gani huyo alikuuzi mpaka ukadevelop chuki kiasi hicho? Khaa...huna hata chembe moja ya uruma?
hahaha, believe me you; i wouldnt care the less about my biological father. The good explanation is still there. Unless hakujua kama nipo, na from the moment alipojua alichukua hatua gani kuhakikisha anapata access ya kuwa nami. Na pamoja ya yote, that mzee alie nilea, mzee Mtambuzi mwenyewe, will always be my darling dad! Baba sio mchangia mbegu aisee. Its about the sleepless nights and the endless bills! I will always respect him for all his sacrifices (angeweza kusquander vijisenti vyake akaacha kutusomesha!)
im serious, nna roho ya jiwe towards rejection. You reject me, i will reject hadi kivuli chako, lol
Tunapata taarifa gani kutoka kwa mama kuhusu sababu za kusepa. Miezi sita features za mtoto zinaanza kujitokeza vizuri na kawaida ya wanaume race zote za binadamu duniani hatuchelewi kuangalia features. Unadhani pengine baba alihisi mtoto wa kubambika? Akamwacha mama amlee mtoto huyu na huyo bwana aliyempa mimba? Lakini mama hataki kumtaja baba halisi ni nani; labda msukuma-mkokoteni, au ilikuwa mimba ya kubakwa. The mother might be hiding something--and maybe for a good reason. Read between the lines.... Hili linaweza kuwa ni tatizo la mama. Si tatizo la baba.
hahaha, believe me you; i wouldnt care the less about my biological father. The good explanation is still there. Unless hakujua kama nipo, na from the moment alipojua alichukua hatua gani kuhakikisha anapata access ya kuwa nami. Na pamoja ya yote, that mzee alie nilea, mzee Mtambuzi mwenyewe, will always be my darling dad! Baba sio mchangia mbegu aisee. Its about the sleepless nights and the endless bills! I will always respect him for all his sacrifices (angeweza kusquander vijisenti vyake akaacha kutusomesha!)
im serious, nna roho ya jiwe towards rejection. You reject me, i will reject hadi kivuli chako, lol
Kiranga walimu wako walikuwa na kazi ngumu sana! ndo maana hadi leo kuelewa kwako ni tabu!
Unatafuta tatizo wakati kuna argument kwamba tatizo ni kutafuta tatizo sehemu isiyo na tatizo.