Angeweka wazi kuwa wawe wanatembelea mjini ila sio kuishi kama alivyosema mkuuSidhanI,kama anamaanisha watu wote waje mjini hapana but at least kuwe na improvement ya living standards za watu,watu wanaishi like wako 60's huko
Mbn kuna vijiji viko ndani but pesa iko,watu wanajenga vizuri and wako na exposure ya baadhi ya vitu.
Wewe unafikri kwa hali kama hii utamueleza nn Mdimi wa njombe kuhusu KATIBA MPYA,BANDARI, akuelewe ikiwa hana exposure ya vitu hvyo na anaona havina msaada katika maisha yake?
Amen ππ€π€£π€£π€£Geti la mbinguni.Wokovu umefika malangoni mwako.
Kwamba hakuna kazi πππ€Sio rahisi,Kusinge kua na jobless
Afu wengi waliokulia mikoani ndani ndani wakifika Dar wanagoma kutoka π€£Mtoa mada amezaliwa mkoani. Period
Kaka angu π€£π€£π€£π€£πJamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo, ili kudumisha mijadala yenye heshima, ubunifu na ushiriki kamilifu, taratibu zifuatazo zimewekwa ili...jamii.app
Ww utakuwa unakaa Mbwinde tarafa ya nyakatombeMkiambiwa muache kuvuta bangi kwa kutumia makalio mnaona mmetukanwa
Umetaja nilipo π«£π€ΈββοΈ tuendelee kukaa mikoani πNisipo kaa dsm,mwanza,dom arusha.Bora mninyonge. Karibuni mwabayanda
Utakuwa mmasai mlinzi ππMwili wangu utarudishwa mkoani πila tuacheni utani dar pana fursa nyingi bn, hv wanangu wa kilimakyaro ukiacha soko la memorial na kuendesha bajaji kuna fursa gani nyngn?
Haya Arusha sasa usipoendesha piki piki na kuuza gadgets utafanya nn kingn
KhaaaaaSasa mliolewa dar mtapemdaje mkoa?
Wafirwaji dar mnalipwa vizuri huku mkoa utafirwa na hutapata faida kwann kusiwe kutamu dar?
Ticha umeguswa sanaWengine wapo dar wameolewa,hawajui ugumu wa maisha,
Poa mkazi wa chole road masaki Dar es salaamWw utakuwa unakaa Mbwinde tarafa ya nyakatombe
Dada mi Arusha ni nyumbani napajua vzr siongei kwa kutania nimetoka huko sio miaka mingi sana, Arusha hamna mazingira rafiki wa wajasiriamali wadogo wadogo kulinganisha na daslamUtakuwa mmasai mlinzi ππ
Hao ni watu wanakaa daslama sio Dar es SalaamHivi mtu anayekaa buguruni, tandale,kigogo na sehemu kama hizo naye anamcheka mtu wa vijijini?
Unajua ndugu yangu hata biblia imeruhusu kuujibu upumbavu sawasawa na upumbavu wenyewe. Mada ingekuwa ya kiakili unajibu kwa akili tu. Lkn hizi za hovyo tunajibu hovyo tu.Khaaaaa
Ila watu wa JF mnapenda vayolensi
Mtu unakuta anakaa Kimara ndani ndaniKuna watu wanakaa Dar es Salaam na watu wanakaa daslama kama watu wa yombo vituka
Usiwadanganye vijana,Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app