Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Kuna mikoa ipo kiulaya mkuu kuliko hata dsm., au unafikiri utitiri wa vijumba uchwara ndio ulaya?
 
😂😂😂Mnatudharau sana sisi wa mikoani..

Naomba kuuliza hivi daresalama sio mkoa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnatudharau sana sisi wa mikoani..

Naomba kuuliza hivi daresalama sio mkoa?
Mkuu kwamba huelewi au umeamua tu kukaza fuvu [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…