Ukizoea chabo bana, inakuwa hivi.....

Ukizoea chabo bana, inakuwa hivi.....

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Kutongoza au kutongozwa ni elimu (art), kiasi kwamba kuna watu hawana hiyo (art) wanapata tabu sana kumjulisha mwenza kwamba anamhitaji, mbinu nyingi hutumika kujiridhisha tamaa ya mwili mojawapo ikiwa ni kupiga chabo.
 
Attachments

  • si kila unavyodhani ndivyo.jpg
    si kila unavyodhani ndivyo.jpg
    58.5 KB · Views: 1,466
Na huu ujinga ni mamen sanasana!
 
Kutongoza au kutongozwa ni elimu (art), kiasi kwamba kuna watu hawana hiyo (art) wanapata tabu sana kumjulisha mwenza kwamba anamhitaji, mbinu nyingi hutumika kujiridhisha tamaa ya mwili mojawapo ikiwa ni kupiga chabo.

huyu anatafuta ushahidi wa zinaa, for huddud to apply
 
jamaa ailizidisha gundi!!!!bt its amizing......................
 
haya bwana...kazi tunayo!
next thought sijui itakuwa nini?
 
Ila huyo mdada atakuwa ana nguvu kweli...
 
Akatoe msaada wa kukibandua kibao :A S-alert1: ha ha haaaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom