Ukizeeka unataka kuwa nani?

Few people around me, more resourses to support me💪🏿💪🏿
 
Hahahaha😀😀😀😀 nimecheka mno! Ila nimefurahi maana wanakujali.. Vile vimiminika hukukojoa bure.. Vimeleta faida😂
 
Kweli
 
Nataka kuwa mzee mwanakijiji
 
Nafikiri ujana wako utengeneze vzr hasa kwenye vyakula Ili ukijazeeka magonjwa ya siku andante.
Pili jitahidi kuweka akiba Ili yale mahitaji muhimu uweze jiendesha mwenyewe watoto wanaweza kuona usumbufu kwao na ukafa kwa stress zakukosa mahitaji hayo.
Jitahidi kula vzr na kupumzika kwakifupi furahia uzee wako
 
Kuwa pastor uzeeni ni matumizi mabaya ya nguvu na akili ulizopewa na Mungu.
Yaani vijana wamsikilize mzee anayetakiwa kukaa juani waache kupambana na dunia?
Kila kitu kifanwye na vijana ndo maendeleo yatapatikana siyo miaka yote ukiwa kijana unavuruga jamii eti sasa mzee unageuka kuwa pastor? Hakuna atakayekuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…