LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,445
- 12,225
kwakwel toka niwe alone, kipaumbele changu namba 1 ni afya yangu. Zoezi kali , maji mengi na kupumzika vya kutosha.Pole pole yupo 55 yrs Ila Kama Ana 40 hivi
Utaweza kuwa mshauri wa watu? Friji linagandisha? Usije kuambiwa issues za watu ukazimwaga hadharaniNatamani niwe mpole no story za ujinga na watu yaani nakuwa mpole na mshauri wa mambo ya kijamii kwa watu wataokuwa wanakuja kuniambia mambo yao .
Ila sasa nawaza kuwa je nitaweza maana hapa nilipo naitwa Google na wanakijiji maana hakuna nisilolijua na pia kwenye kundi la wengi mimi ndiye nakuwa kinara wa maongezi ukweli uongo humo humo kikubwa niwe main speaker .
Nisaidiwe ikiwa kuna namna ya kuwa mpole hapo badaye ili niwe nimeziishi ndoto zangu
Hapo ndipo napowaza kaka ndiyo maana nikaomba nisaidiwe tuUtaweza kuwa mshauri wa watu? Friji linagandisha? Usije kuambiwa issues za watu ukazimwaga hadharani
Aisee,mimi nilipanga nikizeeka niwe mpishi,na hasa niwe baba ntilie,nilijaribu kama mara 3 hivi,nikakodi eneo nikaweka vifaa vyote,nikaajiri watu 2,watoto wangu hawakupenda.Siku moja wakanilia njama,nilitoka kurudi nyumbani,wakamtuma kijana mmoja walimlipa pesa,akaenda hapo wakaitwa hao wafanyakazi wote wakalipwa mishahara ya miezi 6,akabeba kila kitu kwenye kenta na akarudisha eneo kwa mwenyewe,ile saa 1 usiku naenda najua biashara imechanganya nakuta hola,namkuta huyo kijana,akaniambia baba nimetumwa na wanao nipafunge na kila kitu nimelipa na vifaa vyote vipo kwenye gari nielekeze nivipeleke wapi.Niliduwaa,kwakuwa yeye katumwa na pia namjua maana amekua na wanangu nilimwambie avipeleke nyumbani.Nilikaa kimya,basi kesho yake first born wangu akanipigia na kusema baba tulia nyumbani,timekuandalia bajeti yako kila mwezi utapata matumizi,nikasema sawa.Sasa nafanya kibustani kidogo hapa nyumbaniUjana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa..
Kuna mambo ya kufanya ujanani ambayo mtu hapaswi kufanya uzeeni
Uzee una mengi yasiyopo ujanani na ndio maana wanasema fainali uzeeni
Ila kama kuna mambo hukuyafanya ujanani kina uwezekano mkubwa ukayafanya uzeeni
Kumbuka wahuni pia huzeeka.. Na baadhi huzeeka na uhuni wao... Na ni rahisi kuwa mwanga uzeeni kuliko ujanani kwasababu ya upweke
Mimi nikizeeka nataka niwe pastor.. Vipi kuhusu wewe... ( kama utazeeka lakiniπ)
Ukizeeka Aunt inakufa rasmi labdaNikizeeka nataka kuwa rich aunt
Mkuu wewe huwezi siri zetu zitakuwa mashakani.Hapo ndipo napowaza kaka ndiyo maana nikaomba nisaidiwe tu
Rich granny, just chasing kina Poor BrainUkizeeka Aunt inakufa rasmi labda
... A rich granny
Dah ngoja sasa nianze kuwaza nikizeeka niweje kwa jambo lingine maana hilo nimeona wengi wamesema kama kijiji kinadhubutu kuniita google siwezi kuwa na siri.Mkuu wewe huwezi siri zetu zitakuwa mashakani.
Jua limeshazama, Karibu Uzeeni MkuuHivi 48+ si nimeshazeeka au Bado?
Lakini hela na ukali huwa haviendani. Ukali unaendana na uhohe hahe na Upole unaendana na hela. Hivyo kama unataka kuja kuwa Rich Granny sahau mambo ya kuwafukuza/kuwakimbiza wajukuuπRich granny, just chasing kina Poor Brain
Ngo'mbe hazeeki maini, tuyaone hayo maini...Nikizeeka nataka kuwa rich aunt
Kwaio mkuu unafuata nyayo za anko?πNina mjomba wangu alikuwa fundi radio , nara mganga sasa kafungua kanisa Kawa mchungaji ana kanisa lake
Unazeeka na utamu wako au siyo...Nishazeeka sasa,nimekuwa mchungaji wajameni
πNataka niwe mueleimisha jamii..mana vijana wa siku hizi akili zao huko tukiwaacha Dunia itakuwa haikaliki.
Pia nataka nifuge nilime bustani nikae kivyangu tu huko ndani ya himaya..sipendi makelele ya barabarani
Wakati nakua nilikuw napenda sana kuwa fundiKwaio mkuu unafuata nyayo za anko?π