Ukiyaona haya magari-chunguza and take care!!

Shame.utafikiria hakuna traffic police barabarani

Polisi wapo wameliona na walilikamata isipokuwa tayari wameshachukua chao wamaweka mifukoni wakaliachia. Cha ajabu wanashindwa kujua hicho walichochukua kitawatafuna wenyewe endapo maafa yatasababishwa na ajali inayoweza kutokea. Halafu polisi au mtu aliyesababisha akiandamwa na mabalaa anasema amemlogwa kumbe kajiloga mwenyewe.

 
ajali+6.bmp
 
Kweli hii afrika...kila uozo wetu sie why jaman

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom