Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
hadi na khanga mkatandika ha ha haHahahhaa uandishi wako wa hili tukio Hahahahha ungekua unatoka Tanga Ningejua ni wewe, Ila Mimi mhusika wangu Sidhani kama ni member humu. Yaani ile amelaza Kanga tu chini, Kidume nimeshavua pensi nimeshikilia bunduki kuelekeza eneo la tukio, lahaula ni Siafu wa kufa mtu!! Sitakaa nisahau, ninavyoandika hapa ni kama vile naliona kabisa lile tukio
usinifanyie hivo 😀Sikutaki tena....
Kuna mtu alikaa uchi juu ya hiyo mezaNaombeni kwa mlio elewa hii picha mnitafsirie........View attachment 776371
usinifanyie hivo 😀
Wafanya usafi wana siri nyingi sana za ofisini mwa watu.Kuna mtu alikaa uchi juu ya hiyo meza
Usije ukanileta na mie huku maana mmmhhhhhHahahaaha sasa je
Wacha weee. I like that ...Yasemwayo yapo ilaa mimi No labda kwenye gari
Kwenye gari patamu balaa!!those day with him!!Wacha weee. I like that ...
I miss that moment!duh tigoNaombeni kwa mlio elewa hii picha mnitafsirie........View attachment 776371
Aliuguliaa maumivu mara mbili ya kukimbiwa na kungatwa na siafuhadi na khanga mkatandika ha ha ha
Yani mi nmesimama zangu, jeans ipo nusu mlingoti mara pa pa pa puu heee vitu vinantembelea kumulika na kinokia tochi siafu hawa hapa yani nlitimua acha tu na hivi jamaa alikua anaishi mbali sijui ilikuaje nahisi walimshughulikia sana