Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

Khaa unaturingishia eeh. Ndo mana unabana sana kumbee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna ila ndo ukweli
Mida kama hii unajiandaa kabisaa jus welcome home honey kumbe unamtegaa!!

Hachomoiii ng'odooo![emoji23] [emoji23]
 
Mbona mmewaza Vibaya?? Labda jamaa alikuwa anatest Wipers zake kabla hajafunga katika Ndinga yake
 
Hapa sasa kama una mke mzuri mda wa kutoka ofisini ni kumpitia mrudii wote mana hawa mabosi
 
Back
Top Bottom