Ukiwa unafanya haya usilalamike mkeo akikusaliti

Bro kuna jamaa anafanya kazi BoT ana hela hatari, ana Nyumba 3, gari 6 na biashara kibao. Mwisho wa siku mkewe alikuwa anachukuliwa na jamaa mchovu hata gari hamiliki. Kama utaiangalia hio video utaona jamaa anavyojieleza hapo. Ana kazi mbili, Mercedes Benz, na anampa kila kitu wife wake hela sio kila kitu hio uwono wa masikini tu.
Nadhani pesa ni kwajili ya kuwavutia wasichana i mean mpenzi.

Ila kulinda penzi hiyo ni topic nyingine na ni zaidi ya kumiliki maburungutu ya pakee(pesa)
 
Kama sinema vile mara wameoana kesho wameshatengana kila mtu na hamsini zake! Labda ni kuanguka kwa maadili na watu kutaka kuishi maisha ya kisanii. Unashangaa kuona watu wanavyoachana kwa sababu ambazo hazina uzito wowote ule na baadhi ya wazazi ndugu nao wanachangia sana kuziua ndoa. Ukilinganisha na enzi za wazazi wetu ambapo wazazi na ndugu walijitahidi kila namna kuwasuluhisha ili ndoa isivunjike.
Well said.

Mzazi mwingine(upande wa mwanamke) akisikia eti mmegombana anamfata mtoto wake tena kwa mbwembe eti hakukosa kitu hivyo niachie nimlee "sijamshindwa" sasa anamjaza kiburi weee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom