Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Kuna vitu vinatafakarisha sana hasa ukiwafikiria vijana wanavyodai na kumchukia mwanamke msaliti, sasa tuweke sawa, ni hivi kuna baadhi ya wanaume tunasemaga, ukimkuta mkeo kakusaliti au ana dalili za usaliti fukuza!! Hapa ieleweke kwamba anaetakiwa kumfukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambaye alimkuta/umemkuta mke wako bikra, yaani hajawahi kufanya mapenzi,, ila kwa mwenzangu na mimi kama hujamkuta mke wako bikra, na ukajiunga kwenye msafara wa mamba na wakati wewe kenge mwenzangu hebu fukuza. kabla hata hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu, tena mke wa mtu na wewe unaridhi dhambi ya uzinzi hebu fukuzaa asije akaleta mikosi ndio mana nyumba kila day ugomvi mara kakunyima, mara kakununia, matatizo yote ya nini fukuzaa kama bwai iwe bwai fukuzaaaa simmeamua hamtaki usaliti sasa hujamkuta bikra huo si usaliti au mnaongeleaga usaliti gani? Hebu Fukuzaa
 
Kuna vitu vinatafakarisha kuna wanaume tunasema ukimkuta mkeo kakusaliti fukuza, ileweke kwamba anaetakiwa kufukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambae alimkuta mkewe bikra ila kwa wewe mwenzangu kama mkewako hujamkuta bikra fukuza hata kama hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu
TUanzie wewe tukufukuze kwani wewe sio bikra pia
 
Kuna vitu vinatafakarisha kuna wanaume tunasema ukimkuta mkeo kakusaliti fukuza, ileweke kwamba anaetakiwa kufukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambae alimkuta mkewe bikra ila kwa wewe mwenzangu kama mkewako hujamkuta bikra fukuza hata kama hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu
kwa mtindo wa maisha ya sasa bikira hotaka kirahisi sana mthalani kutokana na stress, uvaaji ngou za ndani, vyakula, mabadiliko ya hali ya hewa, mikito ya safari za baiskeli, bodaboda na dalala

ni vizuri kuzingatia mambo haya kwenye ufukuzaji huo wa wazinzi 🐒
 
Bro unamawazo hasi, bikra ya mwanamke inaweza kutoka Kwa njia mbalimbali Moja wapo inaweza kuwa ilitoka akiwa anajifunza kuendesha baiskeli za migamba zale za kale wanaita mkulima kwaio usikalili et bikra kutoka ad apelekewe moto
sio mimi ni wenzio wanaotaka mke msaliti afukuzwe
 
Kuna vitu vinatafakarisha sana kuna wanaume tunasemaga ukimkuta mkeo kakusaliti fukuza, ieleweke kwamba anaetakiwa kumfukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambaye alimkuta/amemkuta mkewe bikra yaani hajawahi kufanya mapenzi ila mwenzangu na mimi kama hujamkuta mkewako bikra na ukajiunga kwenye msafara wa mamba na wewe kenge mwenzangu fukuza kabla hata hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu, mke wa mtu na wewe unaridhi dhambi ya uzinzi hebu fukuza
Wa kwenu wamefukuzwa wangapi?
 
Back
Top Bottom