Ukiwa unafanya haya usilalamike mkeo akikusaliti

wanasema "Mungu mwenyewe ameshindwa kuwaridhisha sembuse wewe mwanaume!" kuna wanawake vigeugeu sijapa kuona!

1435122284783
 
Kama sinema vile mara wameoana kesho wameshatengana kila mtu na hamsini zake! Labda ni kuanguka kwa maadili na watu kutaka kuishi maisha ya kisanii. Unashangaa kuona watu wanavyoachana kwa sababu ambazo hazina uzito wowote ule na baadhi ya wazazi ndugu nao wanachangia sana kuziua ndoa. Ukilinganisha na enzi za wazazi wetu ambapo wazazi na ndugu walijitahidi kila namna kuwasuluhisha ili ndoa isivunjike.

Umesema vema. Tatizo ni maadili kuporomoka. Hisia za mapenzi zimekuwa zikipimwa kwa vitu, visasi, kukomoana, ubabe na mambo kama haya. Yale mapenzi ya Mimi ni wako wa kufa na kuzikana hakuna tena. Michepuko inalaumiwa, lakini imekuwapo toka enzi za uhai wa dunia. Waamini wasikome kumwomba Mwenyezi Mungu aturejeshee imani.
 
Halafu utamsikia mwingine analalamika mume wangu mpole kupita kiasi mpaka anakera. Huwezi kujua hata kama ndani ya nyumba kuna mwanaume lol! Ndoa kweli ndoana siku hizi ni bahati tu ya mume/mke kumpata mwenziwe watakaelewana, kupendana, kuheshimiana na kila wanapotofautiana hawanuniani bali hukaa chini pamoja kutafuta namna ya kumaliza tofauti zao kwa amani.
Najua hutaamini ila kakofi kamoja tu katika maisha yenu yote kanasaidia katika ndoa ila isiwe mara mbili. Yaisheeeeeeeee
 
Ubahili sio kweli...natamani wanaume wangejua mwanamke kuchepuka zaid 60%ni hulka yake tu ingawa hizo asilimia chache ndo utakuta kero za mume ila mi naamini wengi wao ni hulka ila mara nyingi wanawake sio wachepukaji ila wana akili ndogo sn sio wakuwaweka karibu na mwanaume mjanja mjanja ndo mwanamke akianza kazi tu na wewe ukawa haupo katibu nae ni rhs sn kugongwa kutokana na akili yao nyepesi kudanganywa
 
Bwana we kusaliti hakuhitaji justifications!! Kama nimekushindwa nakuacha bwana we kwani tulizaliwa wote hadi nipatae taabu za kuchepuka!!
 
Back
Top Bottom