Ukiwa unafanya haya usilalamike mkeo akikusaliti

Ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae hata akitongozwa na Sharobaro, Mzee Yussuf, Diamond hata Reginal Mengi.

Ikitokea mkeo kakusaliti kuna kitu nyuma ya pazia lako, ingawa wengi wetu tunasema hela na Gari vinawalainisha wanawake. Wengi waliosalitiwa basi hizi ndio kasoro zao:-

1 Kaowa mwanamke wa mtu (mwanamke alikuwa na mpenzi wake lakini jamaa kaingia wakati mwanamke anatamani ndoa)

2 Alikuwa na hela sasa kafulia hana kitu au alijifanya alikuwa na hela lakini baada ya kuowa mke anagutuka mume mchovu.

3 Humtoshelezi kwenye tendo la ndoa( humkojozi) kama umeowa mke ameshawahi kufikishwa kilima cha kilimanjaro pole yako fanya maujuzi umpeleke kilima cha Everest.

4 Ubahili hapa wengi wa wanaume ndio hupigiwa sana wake zao, mke anahitaji matumizi yake binafsi sio kula na kulala tu au kumnunulia madira na chocolate za kichina. kuna matozi wanahonga mpaka malaki na milioni halafu unawacha hela ya ugali unapikiwa pilau ukimaliza kula unakwenda kulala, bwege kama wewe lazima uchapiwe dadeki zako.

5 Huna muda wa maongezi na mkeo hujui hata nini anapenda,nini leo kimemkuta,wala huna future plan kwenye familia wewe ukali,mpira,vijiwe,kazi na marafiki tuu wakati rafiki yako wa kweli(mkeo) huna muda wa maongezi nae.

6 Kuwaachia marafiki kuzoweana sana na shemegi yao, sio kama vibaya kutaniana na shemegi yao lakini kuna mataani mengine hupitiliza. utakuta mpaka baadhi ya rafiki wanampigia simu shemegi yao wanaongea kwa masaa na vicheke kibao.

7 Kujifanya mkali kila wakati wewe uso umeukunja kama ngozi za pumb..u hujulikani kijana au mzee hujulikani leo umefurahi au umenuna. Tokea umuowe mkeo hujawahi kumtania hata siku moja.

8 Kuchepuka kuna baadhi ya wanaume walioowa nishawahi kuwauliza kwanini wanachepuka jibu lao kubwa wanasema hawajui. HUbaki kumalizia kusema eti hawa wanawake watakuwa na sumaku:D:D:D

Kuna baadhi ya mambo husababisha sisi wenyewe wake zetu kufikia kuchukua uamuzi wa kutusaliti, Kama ukali unafanya kazi mbona simba na ukali wake lakini kazungukwa na mabebez kibao. Sababu ya kuleta huu uzi kuna cousin yangu kaachwa na mkewe wamekuwa wapenzi tokea wakiwa wana miaka 15 mpaka sasa wapo kwenye 30s, miaka mitatu iliopita wameachana sasa mwaka huu aliekuwa mkewe anaolewa na mume mwengine cousin yangu kabakia na ujumbe kwenye avatar za whatapp tu. Kuomba radhi kwa makosa aliokuwa akimfanyia mkewe nilikuwa nikimuonya sana akibadilisha wanawake kila wakati, mwisho mkewe alikuja kujua nae alimpa tahadhari ya kuwacha kuchepuka hakusikia mwisho wake ndio sasa anajutia.

Kwa mtindo huu, wanaume watabaki juu milele... Wenye pesa zao watakula matunda matamu matamu tu. Wasiokuwa nazo watabakia kusubiria makombo. Mbaya zaidi ukikalia kuwaza mapenzi sana utajikuta unaachwa nyuma na wenzio watafutao faranga kugharamikia vyote hivyo ulivyo vitaja.
 
Namba 5 na 7 ni ukweli mtupu. Kumbuka kuna wanawake wana kazi nzuri na mishahara ya maana tu (pesa kwao sio tatizo kivile) lakin hizo 5 na 7 zinawakera hadi wanaamua kutafuta pa kupunguza machungu. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili......
 
Mleta mada acha Maneno..... Mke anaweza kukusaliti kwa sababu tu unampenda sana. Hawa viumbe wenyewe hawajielewi afu wewe unaleta insipirational talks zako hapa. Tafuta hela.
Kama hela ninazo?? ndio nikasema masikini anadhani hela ndio suluhisho la ndoa. Msome mke nini anapenda na nini hapendi, kuna wanawake wana misimamo ya kweli.
 
Ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae hata akitongozwa na Sharobaro, Mzee Yussuf, Diamond hata Reginal Mengi.

Ikitokea mkeo kakusaliti kuna kitu nyuma ya pazia lako, ingawa wengi wetu tunasema hela na Gari vinawalainisha wanawake. Wengi waliosalitiwa basi hizi ndio kasoro zao:-

1 Kaowa mwanamke wa mtu (mwanamke alikuwa na mpenzi wake lakini jamaa kaingia wakati mwanamke anatamani ndoa)

2 Alikuwa na hela sasa kafulia hana kitu au alijifanya alikuwa na hela lakini baada ya kuowa mke anagutuka mume mchovu.

3 Humtoshelezi kwenye tendo la ndoa( humkojozi) kama umeowa mke ameshawahi kufikishwa kilima cha kilimanjaro pole yako fanya maujuzi umpeleke kilima cha Everest.

4 Ubahili hapa wengi wa wanaume ndio hupigiwa sana wake zao, mke anahitaji matumizi yake binafsi sio kula na kulala tu au kumnunulia madira na chocolate za kichina. kuna matozi wanahonga mpaka malaki na milioni halafu unawacha hela ya ugali unapikiwa pilau ukimaliza kula unakwenda kulala, bwege kama wewe lazima uchapiwe dadeki zako.

5 Huna muda wa maongezi na mkeo hujui hata nini anapenda,nini leo kimemkuta,wala huna future plan kwenye familia wewe ukali,mpira,vijiwe,kazi na marafiki tuu wakati rafiki yako wa kweli(mkeo) huna muda wa maongezi nae.

6 Kuwaachia marafiki kuzoweana sana na shemegi yao, sio kama vibaya kutaniana na shemegi yao lakini kuna mataani mengine hupitiliza. utakuta mpaka baadhi ya rafiki wanampigia simu shemegi yao wanaongea kwa masaa na vicheke kibao.

7 Kujifanya mkali kila wakati wewe uso umeukunja kama ngozi za pumb..u hujulikani kijana au mzee hujulikani leo umefurahi au umenuna. Tokea umuowe mkeo hujawahi kumtania hata siku moja.

8 Kuchepuka kuna baadhi ya wanaume walioowa nishawahi kuwauliza kwanini wanachepuka jibu lao kubwa wanasema hawajui. HUbaki kumalizia kusema eti hawa wanawake watakuwa na sumaku:D:D:D

Kuna baadhi ya mambo husababisha sisi wenyewe wake zetu kufikia kuchukua uamuzi wa kutusaliti, Kama ukali unafanya kazi mbona simba na ukali wake lakini kazungukwa na mabebez kibao. Sababu ya kuleta huu uzi kuna cousin yangu kaachwa na mkewe wamekuwa wapenzi tokea wakiwa wana miaka 15 mpaka sasa wapo kwenye 30s, miaka mitatu iliopita wameachana sasa mwaka huu aliekuwa mkewe anaolewa na mume mwengine cousin yangu kabakia na ujumbe kwenye avatar za whatapp tu. Kuomba radhi kwa makosa aliokuwa akimfanyia mkewe nilikuwa nikimuonya sana akibadilisha wanawake kila wakati, mwisho mkewe alikuja kujua nae alimpa tahadhari ya kuwacha kuchepuka hakusikia mwisho wake ndio sasa anajutia.

Dah! Noma sana
 
Halafu utamsikia mwingine analalamika mume wangu mpole kupita kiasi mpaka anakera. Huwezi kujua hata kama ndani ya nyumba kuna mwanaume lol! Ndoa kweli ndoana siku hizi ni bahati tu ya mume/mke kumpata mwenziwe watakaelewana, kupendana, kuheshimiana na kila wanapotofautiana hawanuniani bali hukaa chini pamoja kutafuta namna ya kumaliza tofauti zao kwa amani.
Mkuu hawa watu huwa hawana fomula ,
mtu anapokuja na muongozo wake akitegemea ufatwa kwa kila mwanamke huwa tunafeli,

kuna watu makauzu na wanaishi nao wakw zao kikauzu na maisha yanakwenda hata hamwachii chansi mke ya kutoka,

Na kuna watu sura za jakaya kutwa kucheka ,lakini kila siku wanangewa
 
Sometimes wanawake wengine sio,kwamba wako,bomba sana. Basi tu..

Mwanaume hutakiwi kuishi,kwa kujitesa hivyo.
Imeandikwa,mwanamke,ndiye,mwenye,kupaswa kua,na tamaa,na,mwanaume ili atawaliwe.not,viceversa.
 
Mkuu hawa watu huwa hawana fomula ,
mtu anapokuja na muongozo wake akitegemea ufatwa kwa kila mwanamke huwa tunafeli,

kuna watu makauzu na wanaishi nao wakw zao kikauzu na maisha yanakwenda hata hamwachii chansi mke ya kutoka,

Na kuna watu sura za jakaya kutwa kucheka ,lakini kila siku wanangewa
Ofcourse
 
Mambo ya ndoa ni mengi sana changamoto ulizotoa wewe ni hafifu sana chamsingi Mungu aongoze mapito yenu hata kama maisha magumu bado utafurahia ndoa lkn pesa nyumba magar sio suluhisho pekee.......fikria upande wa shilingi unatutilea sababu zako na unajiaminisha nazo
Lakini ikikukuta moja tu utasahau yote.
 
Back
Top Bottom