mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,747
- 4,669
Kumbe unazungumzia tabia za ushoga, mbona dar hamshangai kuna mambo ya kweli lakini mengi ni chumvi tupu, niliwahi kuambiwa Tanga ukipiga teke hata kifuu kinaongea lakini nilikuwa napiga hata kuku lakini sijawahi kushuhudia hicho kitu.Inategemea mkuu umekaa tanga sehemu gani, nenda tanga mjini maeneo ya chichi hadi nyumbani kwetu hotel, nenda tanga pazuri, bado hujaenda sokoni mgandini, mitaa ya mikanjuni, sahare, mabanda ya papa, makorora na barabara za namba. Tanga kila kitu, tena unaweza kudhani unaishuhudia sodoma na gomora mpya, hatari sana. Nakumbuka siku nilipotembelea forodhani saa mbili usiku, nilishangaa kukuta wanaume wamekaa kando ya barabara wanajiuza, nilitetemeka mwili mzima sikuamini nilichokiona
nimeipenda, natamani nikadhurure Tanga labda nitapewa kweli chochote
