kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,219
- 855
Maduka yote bara bara ya jamaa yanafunguliwa saa 3 na kufungwa saa 9 au 11 jioni.Duka la wapi!??......maana Kama liko katikati ya mji kwann asifunge jioni awahi nyumbani!???....unataka achelewe kufunga umuibie!??? Wengine hufanya kwa sababu za kiusalama hasa maduka ya jumla.
Ila kwa maduka ya mtaani yapo Kama kawaida hadi night Kali.Swala la kusema eti mgandini Kuna milikiwa na wageni inamaana wasambaa ni wakazi kutoka wap!???......maana sijakuelewa kabisa mkuu!
Pale nyama choma bara bara ya 11 mpaka saa 3 ndio upate chai, na saa tisa hakuna chakula.
Wasambaa wana asili ya Lushoto, wadigo wana asili ya Tanga Mjini. Tulitegemea wadigo washike sehemu kubwa ya biashara.
