Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Ukiwa Tanga usiwe na haraka

Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
Mungu ibariki Tanga
 
Aisee
Inategemea mkuu umekaa tanga sehemu gani, nenda tanga mjini maeneo ya chichi hadi nyumbani kwetu hotel, nenda tanga pazuri, bado hujaenda sokoni mgandini, mitaa ya mikanjuni, sahare, mabanda ya papa, makorora na barabara za namba. Tanga kila kitu, tena unaweza kudhani unaishuhudia sodoma na gomora mpya, hatari sana. Nakumbuka siku nilipotembelea forodhani saa mbili usiku, nilishangaa kukuta wanaume wamekaa kando ya barabara wanajiuza, nilitetemeka mwili mzima sikuamini nilichokiona
 
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
Kwa hiyo Nikija huko nisiwe na haraka ya kuondoka?
Ok vipi nikileta ile biashara yangu ya majeneza wateja wanapatikana?
 
Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae anazuga ooh Leo hawajaja mademu wakali. Akadai Basi twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda. #Sitaki_ujinga#
Mkuu kwa hiyo uliahirisha kuchukua mbususu?
 
Daahh Tanga sijawahi fika, ila siwezi toka na binti anaweza kuwa jini aisee

Siwaamini kabisa mabinti wa Tanga
 
Anaweza akakupa chochote [emoji3] [emoji2] [emoji1] nimeipenda, natamani nikadhurure Tanga labda nitapewa kweli chochote
Mkuu huko nasikiaga eti ukiwa mgeni shida zako zote za huko nyuma zitatatuliwa
 
Nimeishi Tanga miaka mitatu nikisoma pale shule moja na mwaka mmoja nika kaa kitaa anayoyasema mtoa mada ni sahihi, Tanga watu wake wapo hivo, alafu hawapendi kujifunza wala kujua mapya yao ni yale yale. Kama hawa wanao bisha hoja ya mtoa mada kwa ndivyo sivyo,
yaani forodhani pale uhuru park watu wamejaa wanatia stori mchana kwa asubuhi.

Wana lifestyle la kipekee wikiendi kwao inaanza alhamisi, kuhusu wanawake kutokuwa wachoyo inategemea mke wa mtu analika kwa tanga ila usifumwe labda kama si mke wa mtu yaani kule hawa wengine unakula utakavyo.

Ukahaba upo pia japo wanaojiuza ni wale walio kubuhu sura zinasoma kilomita, kwanza miaka 40,50.......hawa wadogo wanaozeshwa maana wenyewe wanasema bado mwana aitaa yani binti bado anaita,(mpya).

Biashara za tanga mjini ni za kuchuuza pale kila kitu uchuuzi, sasa pia hawajui kuongea lugha za kibiashara na wateja, pale hawajui kupunguza bei kitu ni 5000 ni 5000 mbali na bei hawawajali wateja.
Kiufupi tanga ni watu wa kuridhika, kesha kula chapati maharage na gahawa basi kwake jambo la kheri siku inazama.

hawamaindi nyumba nzuri wala nini bora kuongeza mke.
Kuna mengi nafahamu kuhusu tanga na watu wake ila keyboard naiachilia hapa.
 
Zanzibar ni hivyo hivyo. Nahisi watu wa pwani ni uvivu umewajaa. Nilikua nakasirika nikiamka asubuhi kwenda dukani nakuta maduka yamefungwa mpaka saa 4 ,5 ndo wanafungua maduka.
wanakula tundi hao,yaani tanga tundi lantumika kisawasawa si kama bara hajui labisa kultumia tundi,tanga tundi twalila kunako na si masighara.
 
Baada ya kuingia Tanga nikapata na lodge maeneo ya Sahare. Nikamtafuta bodaboda anipeleke kwenye "Wajasirimali" akanipeleka City centre ilipokua La Cassa Chika club karibu na posta/soko daah mademu wazee na wabovu sana japo jamaa aliwasifia kishenzi. Baadae anazuga ooh Leo hawajaja mademu wakali. Akadai Basi twende Pongwe (yapata 15kms eti Kuna mademu wa kisomali) Nilikataa kulipia boda kwa ujinga wake na kunipotezea muda. #Sitaki_ujinga#
haaa haaa ......

boda naye aliona kuwa bibi vizee wapo pale
 
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
Kuna hawa wanyama

View: https://www.instagram.com/reel/C_Svlepobk4/?igsh=MTdzZXEzNzBkbHFvYw==
 
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
Kifupi jua tuu mji wowote ukiona wamejaa wavaa hijab,kanzu na makobazi basi jiandae kukutana na hayo yote uliyo yasema
 
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.

Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.

Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.

Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.

Life is simple!
Watu wa Tanga walishasema hawana uhitaji wala kiu na mambo ya Dunia, kwa sehemu kubwa wao wanaisubiri raha za Akhera

Mathalan anakuambia iweje unajilimbikizia mali nyingi na utaziacha hapahapa Duniani?
 
Nisaidie pia kuniulizia kwa hao Watu wako wa huko huko Tanga ni kwanini Wanawake wao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda sana kupitia barabara za Vumbi na siyo zile za Lami? Wakishakujibu malizia Kuniulizia tena hao hao wana Tanga kuwa ni kwanini Wanaume zao wengi ( japo siyo wote ) wanapenda mno kwenda Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu wawapo na Jinsia tofauti na Yao na hata wakiwa wao kwa wao? Nayasubiri Majibu yangu kutoka Kwako mwana Tanga na wana Tanga mliopo hapa. Nitashukuru.
Sehemu yeyote walipo jazana wavaa kobaz, kanzu na hijab tarajia hayo yote uliyo yasema
 
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Wapi hiyo mkuu? Toa location wadadisi tukafanye utafiti.
 
Back
Top Bottom