Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,030
Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.
Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;
1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.
Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.
Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)