Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.

Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;

1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.

Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.

Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Kuivunja serikali yote na kuanza interview mmoja baada ya mwingine kama hiyo nafasi anaiweza, kila mwajiriwa wa serikali atalipwa basic salary ndogo na perfomance ndio itakuwa kidhibitisho cha kulipwa extra money, bila kusahau CCM nitaifutulia mbali na siku ya kuanzishwa ccm itakua sikukuu ya siku mbaya zaidi Tanzania kwa kuzaliwa zimwi lililoisababishia Tanzania Umaskini.
 
1.elimu hapa nitapakazia sana kwanzia kuboresha mtaala na kuboresha maslahi ya walimu hii itaenda sambamba na kupata walimu waliofanya vizuri darasani sio hawa unga unga mwana four ya ualimu

2.Huduma za afya zaitaboreshwa na zitakuwa gharama nafuu saana.Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu wake wawe na uhakika wa huduma bora za afya pindi wanapoumwa.

2.majizi ya nchi,wabadhirifu wa mali za umma,wakwepa kodi wataakiona cha moto

4.Kodi itakusanywa kwa nguvu zote

4.Bunge la wasomi huna degree nenda kajiajiri na ubunge mwisho miaka 10 zinakuja akili mpyaa

5.mfumo wa vyombo vya ulinzi hasa polisi nitalifumua jeshi zima

6.Nitalituliza soko la mafuta ....mambo ya mafuta kupanda panda ovyo na kuumiza wanaanchi huku wafanya biashara wa mafuta wachche wakineemeka litakuwa miwsho.

Nitaanza na hayo kwnza na mengine mengi yakiwa yanakuja nchi hii ina uuzo mwingi.
 
Nitafuta makanisa yote ya upako na ukanjanja,, kubaki na Catholic na Kkkt pekee,,

Nitazichanganya Simba na Yanga ziwe timu 1,,

Office zote za umma na binafsi ajira ni kwa wanaume pekee,, wanawake wabaki kufanya kazi za nyumbani, kilimo, ufugaji na ujasiriamamli,, sababu wanawake maofisini neno customer care kwao ni msamiati,,

Nitauvunjilia mbali muungano,,

Nitapiga marufuku bodaboda,, zibaki bajaj na uba,,

Umeme ukikatika kwa saa1 waziri wa nishati Jela mwaka 1,,

Ikibainika kuna mtu amepoteza maisha kwa uzembe wa daktali au muuguzi waziri wa Afya jela miaka 5,,

Waziri wa elimu marufuku kusomesha watoto au watu wa familia yako au ukoo wako nje ya nchi ama private,, somesha shule za kata,, ili fimbo nawe ikuchape,,

Nitafuta vyama vyote vya siasa nasema vyote,,

Nitahakikisha kila familia inamiliki shamba la heka 2 kwa ajili ya kulima mazao ya chakula I mean kila familia lazima ilime,,

Ili hakimu asajiliwe lazima afungwe jela mwaka mmoja ili auone uchungu hasa watakao upitia watu anaowahukumu bila hatia,,

Ukibainika ufisadi, rushwa, ujambazi, ubakaji, kuua kwa wivu wa mapenzi, ushoga, usagaji, kutoa mimba adhabu ni kupigwa risasi hadharani na live on TV,,

Marufuku kubeti, pool, tatu mzuka, dubwi la mchina, na kamari zote,,

Wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa mikoa na wilaya husika,,

Nitahakikisha kila familia inamiliki nyumba na gari,,

yani nina mengi basi tu ngoja leo niishie hapa sababu najua haiwezekani kuwa rais,,
 
Dunia nzima itaungana kukuua walahi
 
Nimecheka japo kuna mengi sikubaliani nayo aisee
 
Hapo kwa mahakimu nimecheka sana....kwamba afungwe kwanza.!!
Hakuna atakaethubutu kusomea huo uhakimu.

Hahahahahahahahahahahahahahahaha......
 
Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.

Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;

1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.

Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.

Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Ningeifumua kama sio kuifuta TISS!

Shirika jipya mbadala lingeundwa.
 
Nitauza MITO na MABWAWA yote.....
 
1: Ndege nitabakiza ya serikali tu, hivyo biashara ya usafiri wa anga nitaachia sector binafsi

2. Hiyo bandari watu wataiona kama mlango wa kuzimu kwa wenye fikra ovu, ila kwa wafanyabiashara patakua rafiki sana na mfumo wa tozo na kodi kila mtu ata enjoy na ni onetime payment you go, hivyo kama kulikua na mkataba wowote nitauvutia tumbaku hadharani🤭 ni kuongeza nashine tu za kushushia mizigo atleast kila mwaka mashine mbili au tatu na kuongeza ICD's, kwani hapo bandarini sito hitaji gozi gozi kabisa, treni itazoa makontena wataenda kuchukulia KWARA VIGWAZA

3. TRA hapo itabidi wanieleze inakuaje vitu karibia vyoote vinapitia hapa vinaenda zambia, rwanda, congo, malawi nk vinaenda kua cheap kuliko hapa tanzania ambao hata usafiri kutoka TPA mpaka kkoo haizidi laki wakati wanao enda transit wana cost ma mil ya pesa ya usafiri na bado inakua cheap!? Inakuaje mtu anaagiza mzigo hapa lorry inabeba inapeleka mpaka zambia/ border anafanya documentation anashusha mzigo anatafuta usafiri mwingine vinarudi tena kkoo ambapo bado akiuza anapata faida kuliko angevishushia hapa bila kuzunguka huko kote

4. BOT hapo watang'ooka watu meno

5. Mama na mtoto mpaka wa miaka 5 matibabu ni bure kwa vipimo na dawa na hosp itakayo kosa kutoa huduma hiyo ninao

6. Kwa kua Tz inategemewa na mataifa kadhaa na ipo ufukweni inastahili kua kama freeport fulani dubai ndogo ya EA na kati

7. Maisha ya waTz hayatakiwi kua makali kama hivi

8. Anae iba serikalini, aendeleze anapokaa kwa kuotesha vitega uchumi ambavyo ni lazima aajiri iwe viwanda au vyovyote na c kuiba pesa za umma alafu hata kijijini kwako umeme au barabara hamna, ukivishindwa hivyo na wizi wako nakufilisi uishi kama ibilisi
 
Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.

Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;

1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.

Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.

Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Naanza na waliotaka kuuza Bandari kwa Mwarabu!
 
Sijasikia anayegusia programme maalum ya kuboresha afya ya akili kupitia mifumo lishe na taarifa(facts) zinazoingia kwenye ufaham wa raia tangu tumboni.(ugali uchunguzwe!)
Hali ni mbaya sana mana hata waliosoma wako na data mbovu au feki kwenye faham zao.
Ndo maana makanisa ya miujiza yamejaa wasomi.
Wanafikia kuwa abused na mjinga mwenzio au mjanja.
Wanafikiri nje ya mfumo halisia.
Hili eneo la kujitambua na kutambua mambo lisipodhibitiwa hakuna plan itazaa matokeo chanya.
Kanuni ya asili ni matokeo mazuri huja kwa mateso/kujitoa/kujituma/kumaanisha kwanza.
 
Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.

Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;

1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.

Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.

Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Ukomo wa idadi ya vyama vya siasa utasababisha kelele, mimi nitakomesha tabia ya unyumbu yaani kujitoa ufahamu ni tabia ya wale waliobeba dhamana kuahirisha kufikiri kwanafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia malengo ya kundi fulani hata kama hayana tija kwa taifa
 
Kunyonga viongozi wote walioingia mikataba mibovu.
 
Nitaanza kumtia ndani huyu fisadi👇
 
Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.

Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;

1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.

Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.

Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Mimi nitafanya kama wewe kasoro tu hapo number 9. Kila alieiba, sijui rushwa na ufisadi nitampa nafasi ya kurudisha abaki na vyake vya halali tu. Zoezi hili nitalipa muda wa kama miezi miwili.

Hapo nitakua nimeanzisha mahakama ya kweli ya mafisadi. Usiporudisha ndani ya miezi hiyo miwili tegemea kukutana na mkono wa Sheria.

Hapo hapo nitazuia utoroshaji wa pesa nje. Ili wasije wakakimbizia huko. Whistle blowers watazawadiwa. Na wataniletea mimi taarifa directly.

Katiba mpya itakua ni kipaumbele kingine. Sihitaji wanasiasa kufanya hii kazi sababu watapiga siasa tu mwanzo mwisho. Bali makundi mbalimbali ya Jamii.

Nitavunja kurugenzi za Wizara na mashirika mbalimbali. Wale wanaofanya kazi kwa mazoea ndio mwisho wao. Kisha nafasi ziwe wazi waombe upya. Yaan sio kwa kuteuana bali interviews.

Mambo ni mengi ila kifupi baada ya miaka mitano Tanzania itakua nchi iliyoendelea sana. Yaani hata nikimaliza miaka kumi natumai watu wengi wataandamana mabarabarani niongezewe muda.
 
1. Nitafungua kiwanda cha ugoro jijini Arusha, ugoro upo mtaani lakini cha ajabu haijulikani unatengenezwa wapi material zake ni nini na zikoje,

2. Nitafungua kiwanda cha Gongo kila mkoa wenye baridi kali kuhakikisha walevi wanapasha mwili joto kwa kitu chenye TBS:
Si ni kweli nakubalika jamani?
Ndio Mzee....!!!!!
 
Kufuta chama kimoja ni kuzalisha tatizo kubwa zaid. Bora ufute vyote. Kila watu waamue kusajiri upya.
Hii ni kwa sabab kwa sasa hatuna mfumo wa vyama vya siasa bali tuna ccm na vyama vya siasa. Vyama hivi kiuwezo na ushindani ni kama watoto wa ccm watukutu na wadadisi.
Ndio maana ukiwa nje ya ccm unaonekana muasi na mtukutu na si mbadala. Ni kama museven na muhoozi.
Hv ww unadhani CCM ni chama ambacho watu wanakitaka,mm nakwambia hata ukikifuta leo hakuna wa kusikitika amin usiamini huo ndio ukweli mateso yote ya watanzania ni kwa sababu CCM ilishaacha kusikia,Hv unadhani kutembea na KIZIWI NI KAZI NDOGO hadi akuelewe unataka nn ni KAZI kubwa ndio ilivyo CCM,imezeeka mpaka haisikii tena.Lkn dawa yake inaendelea kuchemka ktk jiko.
 
Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana.

Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo ukipewa nchi ya Tanzania utaanza na lipi? (Katika hili utani/mizaha haipokelewi). Bila kutamka ELIMU mana kila mtu ataanza nalo,
Mimi nitaanza;

1. Kufuta vyama vyote vya siasa wajisajiri upya na visizidi 4 na kuruhusu mgombea binafsi kuruhusu siasa zenye uwiano. Mali zote zilizoko mikonon mwa ccm na zilipatikana wakat wa mfumo wa chama kimoja kwa jasho la wote zinarudi serkalini.
2. Nitaondoa kero zote za muungano (kuweka win win union) hata zikigharimu kura ya kutengana mazima.
3. Nitaichambua upya mikataba mikubwa ya madini, gesi/mafuta, bandari na mbuga.
4. Nitaboresha sera ya mahusiano ya kimataifa kufanya biashara na taifa lolote.
5. Nitafuta makosa yote walio magereza isipokuwa walioua nawapa haki yao wote.
6. Nitajenga matajiri wazawa. Kila tenda kubwa na ndogo wazawa kwanza labda wakiri si level yao.
7. Nitafuta bidhaa zote zinazoweza kutengenezwa ndan kuwa imported. Uhitaji utazaa uwekezaji wa ndani.
8. Nitapunguza gharama za kuendesha serkali kwa 40%
9. Nitabadiri sheria kadhaa ikiwemo kutunga sheria ya kuua wahujum uchumi wakubwa.
Kila aliyefaidika na mifumo ya nyuma nitamruhusu aendeleze alichokwapua kuliko kutoroshea nje, hakuna makosa ya nyuma.
10. Nitaboresha mifumo ya kutawalana ianzie ngazi ya balozi na kuimarisha kamati ya maadili ya kila jamii husika. Kila mtu atajulikana ni nani, anafanya nini.

Pia nitaboresha mifumo na utendaji wa serkali (Serikali, Bunge na Mahakama) ikiwemo wabunge wawe na elimu kuanzia degree na uhuru wa mahakama. Mwisho kabisa, serkali itasimamia vyanzo vikubwa vya uzalishaji kupitia kampuni kwa ubia.

Lengo kuu ni ustawi wa watu ujidhihiri katika furaha ya kuishi (kama scandinavian states)
Naona kama utaturudisha kulekule.
 
Back
Top Bottom