Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

Hv ww unadhani CCM ni chama ambacho watu wanakitaka,mm nakwambia hata ukikifuta leo hakuna wa kusikitika amin usiamini huo ndio ukweli mateso yote ya watanzania ni kwa sababu CCM ilishaacha kusikia,Hv unadhani kutembea na KIZIWI NI KAZI NDOGO hadi akuelewe unataka nn ni KAZI kubwa ndio ilivyo CCM,imezeeka mpaka haisikii tena.Lkn dawa yake inaendelea kuchemka ktk jiko.
CCM ni zaidi ya shetani
 
1.Kuruhusu mchakato wa katiba mpya.
2.kupunguza madaraka ya Rais.
3.Kufuta wabunge wa viti maalum.
4.Kufuta ma dc na ma das.
5.kutunga sheria ya kuwapiga risasi wala rushwa na wahujumu uchumi.
6.Kufuta wapinzani uchwara wote kama Zitto, Mbowe, le profesa,Mbatia nk.Anaetaka siasa awe msemakweli kama Tundu A Lissu.
7.Kupiga marufuku watu wanaitwa chawa wa aina yoyote.
8.Mtumishi wa uma asiefata kiapo chake kazini imekula kwake hakuna mwananchi kunyanyaswa kwenye taasisi za uma.
9.Spika na jaji mkuu wakijipendekeza kwangu mimi Rais imekula kwao.
10.Mbunge anaetetea serikali badala ya wapigakura wake imekula kwake.
11.Kurudisha mali zote serikalini zilizopatikana kwenye mfumo wa chama kimoja.
Tuishie kwanza hapo upuuzi ni mwingi sana nchi hii.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Kura yangu ungepata wallah
 
Nitafuta makanisa yote ya upako na ukanjanja,, kubaki na Catholic na Kkkt pekee,,

Nitazichanganya Simba na Yanga ziwe timu 1,,

Office zote za umma na binafsi ajira ni kwa wanaume pekee,, wanawake wabaki kufanya kazi za nyumbani, kilimo, ufugaji na ujasiriamamli,, sababu wanawake maofisini neno customer care kwao ni msamiati,,

Nitauvunjilia mbali muungano,,


Nitapiga marufuku bodaboda,, zibaki bajaj na uba,,

Umeme ukikatika kwa saa1 waziri wa nishati Jela mwaka 1,,

Ikibainika kuna mtu amepoteza maisha kwa uzembe wa daktali au muuguzi waziri wa Afya jela miaka 5,,

Waziri wa elimu marufuku kusomesha watoto au watu wa familia yako au ukoo wako nje ya nchi ama private,, somesha shule za kata,, ili fimbo nawe ikuchape,,

Nitafuta vyama vyote vya siasa nasema vyote,,

Nitahakikisha kila familia inamiliki shamba la heka 2 kwa ajili ya kulima mazao ya chakula I mean kila familia lazima ilime,,

Ili hakimu asajiliwe lazima afungwe jela mwaka mmoja ili auone uchungu hasa watakao upitia watu anaowahukumu bila hatia,,

Ukibainika ufisadi, rushwa, ujambazi, ubakaji, kuua kwa wivu wa mapenzi, ushoga, usagaji, kutoa mimba adhabu ni kupigwa risasi hadharani na live on TV,,

Marufuku kubeti, pool, tatu mzuka, dubwi la mchina, na kamari zote,,

Wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa mikoa na wilaya husika,,

Nitahakikisha kila familia inamiliki nyumba na gari,,

yani nina mengi basi tu ngoja leo niishie hapa sababu najua haiwezekani kuwa rais,,
Uliponifurahisha ni hapo uliposema umeme ukikatika saa moja waziri wa nishati jela inakuhusu
 
Hv ww unadhani CCM ni chama ambacho watu wanakitaka,mm nakwambia hata ukikifuta leo hakuna wa kusikitika amin usiamini huo ndio ukweli mateso yote ya watanzania ni kwa sababu CCM ilishaacha kusikia,Hv unadhani kutembea na KIZIWI NI KAZI NDOGO hadi akuelewe unataka nn ni KAZI kubwa ndio ilivyo CCM,imezeeka mpaka haisikii tena.Lkn dawa yake inaendelea kuchemka ktk jiko.
Kwenye orodha ya dawa zako kama hakuna matumizi ya nguvu ya umma/kijeshi kuiondoa ccm jua safari umeifanya ndefu mno.
Hata wao wanajua hivyo.
 
Kwenye orodha ya dawa zako kama hakuna matumizi ya nguvu ya umma/kijeshi kuiondoa ccm jua safari umeifanya ndefu mno.
Hata wao wanajua hivyo.
Hayo yote mkuu tumeshasema huku nashukuru umekumbushia.
 
Sina makuu,Vyama vya siasa visiwepo zaidi ya vinne tu au viwili.
Katiba mpya
Tume huru ya uchaguzi itakayoshirikisha watu wasiomuonea haya mtu,mvivu mzembe na asiwe goigoi
Kila wilaya itakuwa na Citizen Happy Centre ambayo itakuwa na mawasiliano na serikali kuu moja kwa moja hii itashughulikia raia wanaohangaishwa na nenda rudi.(Kujua matatizo wanayohangaishwa nayo ikiwemo sababu na mengine ambayo raia anapatishwa tabu katika ofisi ndogondogo za serikali)
 
Nitafuta kifuta chama Cha kijani kisionekane Tena Duniani na chawa wake wote ntawachoma sindano za sumu

Nitapunguza idadi ya wabunge bungeni had kufikia wabunge 100..tu nakigezo Ili uwe mbuge at least uwe na masters..

Nitabadili mitaala ya elimu Ili kuendana na Dunia inataka nini

Nitabadili katiba na kupunguza madaraka ya rais

Nitaondoa ma DaS na wakurugenzi kweny kila wilaya nitaacha wakuu wa wilaya..

Nitafanya mapinduzi ya kijani kweny kilimo...Ili Tanzania iweze kuirisha Africa mzima
Fahamu kuwa MADAS na MARAS ndo makatibu wa wilaya na mkoa. Mkuu wa wilaya na mkoa n cheo siasa chenye lengo la kusimamia maslahi ya chama tawala
 
Anza na mabadiliko yako wewe mwenyewe kwenye eneo lako la kazi,uwe muaminifu,usile rushwa,usionee mtu,ujanja ujanja na uvivu iwe mwiko kwako,

Leo familia yako kwenye maadili mema ili kujenga taifa bora,

Mabadiliko huanza na wewe,huwezi kulea familia ya mke na watoto wawili kwenye maadili ya hovyo kisha eti uje kua kiongozi bora.
Vema
 
Jeshi la police litafuta , kazi zote za police zitafanywa na wanajeshi

Baadhi ya mapolisi watakuwa recruited ndani ya JW, baada ya mchujo mkali, na watapiga kozi upya ya jeshi...


Ukibahinika na ushahidi tosha, umekula rushwa, utanyongwa hadharani, hii kesi itaenda sambamba na mashoga.

Nitafuta Advance , hakuna form 5 Wala form 6.. Utaanza Elimu ya cheti na kuendelea..

Mishahara itaongezeka

Nyumba za kisenge kisenge, zote tutabomoa, tutajenga nyumba nzuri za standard na wananchi tutawapangishia Kwa bei nafuu kabisa, hata 30k Kwa mwezi

Oya nitafanya mengi
 
Back
Top Bottom