hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,329
- 2,246
Security and intelligence system kushugulika na michakato ya vyama vyote kwa usawa kipindi chote ili kutengeneza mazingira ya kuwa na uchaguzi huru na wa haki Kila baada ya miaka mitano, yaani wasilale kwa miaka minne na ushee alafu kipindi Cha uchaguzi ndio walale Sasa, sio wanalala miaka minne na ushee alafu wanakuja kukesha wiki mbili za uchaguzi eti ili mgombea wa chama kimoja ashinde dhidi ya vyama vingine,akati sisi wote ni wananchi wa nchi Moja,
