Ukiwa na urafiki na mwanamke lazima kumtongoza?

Ukiwa na urafiki na mwanamke lazima kumtongoza?

Mara nyingi tunaposoma na kufikia level ya chuo, mbali na kuwa na malengo ya kufaulu mitihani, na pia maisha ya baadaye huwa tunayafikiria.hili likiwa ni pamoja na kutafuta mwenzi wako mtakayeishi naye kama mke na mume mara baada ya kumaliza chuo.wanaume huwa tunachelewa sana kulifikiria hili mpaka tushituliwe kidogo na akina dada.sasa unapokuwa chuoni wakati mwanaume anafikiria hili na akina dada wanafikiri kupata mume, kwa kuwa baada ya kozi hii kinachofuata ni kuanza maisha.
Unaweza ukawa una mchumba wako mlikuwa sekondari pamoja lakini ukifika chuo mawazo yaweza badilika baada ya kukutana na dada wa hapo chuoni, the same applies to ladies.Kwa hiyo ukaribu na akina dada una malengo mengi, aidha kujuana kwa karibu, kuchat tu, kujua tabia za wanaume/wanawake au kutafuta mchumba au rafiki wa kimapenzi.
Kwa hiyo, sio lazima kila dada anayekuwa karibu yako lazima umtongoze, wengine wako karibu yako kutokana na busara ulizonazo au uwezo wako kimasomo na wanahitaji msaada wako ili wafanikiwe.Huenda wengine wanapenda stori zako na ushauri unaotoa kuhusu maisha.na wengine wanajipitisha ili kama hujapata mtu wa kuishi naye ujisemeshe kwa kuwa wao walishafanya uamuzi juu yako.
sasa ukijifanya kumtongoza binti aliyekufuata kwa busara zako atakuona kumbe huna maana una act tu. na ukijifanya kutumia busara zako kutoa wosia kama mzazi kwa binti aliyekufuata kimapenzi utaonekana wa hovyo.
Kwa hiyo unatakiwa kuzijua ishara zote hizi ili uishi bila msuguano.
Huyo dada aliyekuuliza kwanini hukumtongoza nadhani umeshajua sababu iliyomfanya awe karibu na wewe.

mjombaa mungu akubariki elimu yako imetufunua wengi big uo
 
Walah mie siwezi urafiki na mwanamke wa karibu kiivo nisimuombe utamu! Kha, wadada mnisamehe tu humu, ila nitakuomba tu, ukatae ukubali tutaendeleza urafiki wa kishkaji tu!!
 
Urafiki na binti mzuri ni kutafutiana lawama, kwanza hakunaga kutongoza, unajikuta tu mlishalala, unajiuliza hivi ilikuwaje?
 
Hujachelewa Mkuu katika kubadili kibao ili usionekane wa ajabu. Watongoze tu ili wakuone wa kawaida au kwa maneno mengine nawe uonekane wa MUJINI.


IGWEEE WAKUBWA!

Mimi ni kijana wa 24 years nipo udsm mwaka wa mwisho.
Katika maisha yangu ya shule na mtaan nimekuwa na marafik wa kike na kiume.
Mara nying nimejikuta wasichana weng wakijenga urafik na mimi na kuwa karibu sana kias kwamba wananiambia mambo yao meng.

Wapo walokuwa wawaz na kunionesha boy friends zao.kuna wengine mpaka niliambiwa na naambiwa ni girl friends zangu kutokana na ukaribu wetu.

Kwakwel wasichana hawa kwangu niliwachukulia dadas na marafik na hii ni katika level zote coz nimesoma co-education.

Kuna rafik yangu wa kike wa O-level ambaye alishaolewa lakin mara mojamoja huwa tunawasiliana.juz kanipigia simu na katika maongez kanambia kwa nin ckuwah kumtongoza wakat tunasoma pamoja na kuwa karibu sana na mm?

Na akaongeza kuwa warafik wangu hao walikuwa wanaulizana nani nilisha mtongoza?

Kiukwel ckuwatongoza coz nilikuwa na girl friend wangu shule nyingine.

Hili jambo limenipa waswas coz usikute mpaka sasa had hawa marafik nilionao hapa chuo wananiona wa ajabu b'coz cjawatongoza if atall ni hulka ya wasichana kuwa mkiwa marafik wanategemea kutongozwa!

Niweke sawa hapa ndugu.
Nawasilisha!
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali sana!! Kuanzia elimu ya Msingi mpaka A- level O - level kuna mabinti kadhaa niliwahi kuwa nao karibu hata kudhaniwa, na takribani shule nzima, nina mahusiano nao au nimewahi kuwatungoza.
Mfano, ikiwa kama binti fulani hajaja shule, huwa nilifuatwa, mpaka na waalimu, na kuulizwa "Je mwenzako mbona hajaja shule leo?". Ili hali mimi na hao mabinti tunakaa vijiji tofauti. Kuna kipindi niliwahi kuingia katika mzozo wa kimtazamo wa kihisia na mwalimu mmoja wa TP baada ya mwalimu huyo kuhisi nashawishi binti fulani amtose.
Ila mabinti wote wameolewa bikla hata kuwaza kuwatongoza. Mpaka kesho ni marafiki zangu wa kudumu. Huniusaidia ushauri kwa kuwa bado sijafanya maamuzi juu ya kuoa.
 
u need to do justice to them...watingoze bwana nd not only that pia ikiwezekana wagegede wote...trust me ukimgegeda mmoja vizuri na kuwa xlose wengine watataka kuona y umemchagua yule na hakikisha wamchukua mbaya kwanza ili wale wazuri wajione sio....hapo guarantee kuwapitia wote
Dah! We mbaya kwa style hiyo.

Ningeijuwa kimbo hiyo! Sijui ningekuwa na halu gani sasa.



Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2
 
Dah! We mbaya kwa style hiyo.

Ningeijuwa kimbo hiyo! Sijui ningekuwa na halu gani sasa.



Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2

hiyo bwana niliipataga kwenye movie ya a beautiful mind
 
Back
Top Bottom