Ukiwa na urafiki na mwanamke lazima kumtongoza?

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
IGWEEE WAKUBWA!

Mimi ni kijana wa 24 years nipo udsm mwaka wa mwisho.
Katika maisha yangu ya shule na mtaan nimekuwa na marafik wa kike na kiume.
Mara nying nimejikuta wasichana weng wakijenga urafik na mimi na kuwa karibu sana kias kwamba wananiambia mambo yao meng.

Wapo walokuwa wawaz na kunionesha boy friends zao.kuna wengine mpaka niliambiwa na naambiwa ni girl friends zangu kutokana na ukaribu wetu.

Kwakwel wasichana hawa kwangu niliwachukulia dadas na marafik na hii ni katika level zote coz nimesoma co-education.

Kuna rafik yangu wa kike wa O-level ambaye alishaolewa lakin mara mojamoja huwa tunawasiliana.juz kanipigia simu na katika maongez kanambia kwa nin ckuwah kumtongoza wakat tunasoma pamoja na kuwa karibu sana na mm?

Na akaongeza kuwa warafik wangu hao walikuwa wanaulizana nani nilisha mtongoza?

Kiukwel ckuwatongoza coz nilikuwa na girl friend wangu shule nyingine.

Hili jambo limenipa waswas coz usikute mpaka sasa had hawa marafik nilionao hapa chuo wananiona wa ajabu b'coz cjawatongoza if atall ni hulka ya wasichana kuwa mkiwa marafik wanategemea kutongozwa!

Niweke sawa hapa ndugu.
Nawasilisha!
 
tena bora hata akutongoze atakupa heshima wengine wanabaka kabisaaaa
mwanamke kutongozwa kawaida sna na tusipotongozwa lazima uwaze mara 2 tena ukiwa na roho nyepesi kwa kalumanzira utaenda kisa hujatongozwa
mjombako atakutonngoza nini rafiki
 
Si lazma ukiwa na rafiki wa kike umtongoze. Na tabia ya kutongozatongoza ovyo sio nzuri.inakushushia heshima.Ni vizuri kama umejitahidi kuepuka tabia hiyo.
 
IGWEEE WAKUBWA!

Mimi ni kijana wa 24 years nipo udsm mwaka wa mwisho.
Katika maisha yangu ya shule na mtaan nimekuwa na marafik wa kike na kiume.
Mara nying nimejikuta wasichana weng wakijenga urafik na mimi na kuwa karibu sana kias kwamba wananiambia mambo yao meng.

Wapo walokuwa wawaz na kunionesha boy friends zao.kuna wengine mpaka niliambiwa na naambiwa ni girl friends zangu kutokana na ukaribu wetu.

Kwakwel wasichana hawa kwangu niliwachukulia dadas na marafik na hii ni katika level zote coz nimesoma co-education.

Kuna rafik yangu wa kike wa O-level ambaye alishaolewa lakin mara mojamoja huwa tunawasiliana.juz kanipigia simu na katika maongez kanambia kwa nin ckuwah kumtongoza wakat tunasoma pamoja na kuwa karibu sana na mm?

Na akaongeza kuwa warafik wangu hao walikuwa wanaulizana nani nilisha mtongoza?

Kiukwel ckuwatongoza coz nilikuwa na girl friend wangu shule nyingine.

Hili jambo limenipa waswas coz usikute mpaka sasa had hawa marafik nilionao hapa chuo wananiona wa ajabu b'coz cjawatongoza if atall ni hulka ya wasichana kuwa mkiwa marafik wanategemea kutongozwa!

Niweke sawa hapa ndugu.
Nawasilisha!

u need to do justice to them...watingoze bwana nd not only that pia ikiwezekana wagegede wote...trust me ukimgegeda mmoja vizuri na kuwa xlose wengine watataka kuona y umemchagua yule na hakikisha wamchukua mbaya kwanza ili wale wazuri wajione sio....hapo guarantee kuwapitia wote
 
Duuu.Teh teh..back to ur nature again..jana kuna mtu aliiba paswedi yako
 
hahha daughter but u know am talking the truth hapo....chances are a lady atataka umtongoze bwana or atleast show kumtamani jamani

Hapana sio kweli.Mbona mie ni rafiki yako lkn hayo mambo hakuna na wala hayatakuja kuwapo kabisaaa.ni urafiki tu..Rudi bana uwe kama jana..
 
Mara nyingi tunaposoma na kufikia level ya chuo, mbali na kuwa na malengo ya kufaulu mitihani, na pia maisha ya baadaye huwa tunayafikiria.hili likiwa ni pamoja na kutafuta mwenzi wako mtakayeishi naye kama mke na mume mara baada ya kumaliza chuo.wanaume huwa tunachelewa sana kulifikiria hili mpaka tushituliwe kidogo na akina dada.sasa unapokuwa chuoni wakati mwanaume anafikiria hili na akina dada wanafikiri kupata mume, kwa kuwa baada ya kozi hii kinachofuata ni kuanza maisha.
Unaweza ukawa una mchumba wako mlikuwa sekondari pamoja lakini ukifika chuo mawazo yaweza badilika baada ya kukutana na dada wa hapo chuoni, the same applies to ladies.Kwa hiyo ukaribu na akina dada una malengo mengi, aidha kujuana kwa karibu, kuchat tu, kujua tabia za wanaume/wanawake au kutafuta mchumba au rafiki wa kimapenzi.
Kwa hiyo, sio lazima kila dada anayekuwa karibu yako lazima umtongoze, wengine wako karibu yako kutokana na busara ulizonazo au uwezo wako kimasomo na wanahitaji msaada wako ili wafanikiwe.Huenda wengine wanapenda stori zako na ushauri unaotoa kuhusu maisha.na wengine wanajipitisha ili kama hujapata mtu wa kuishi naye ujisemeshe kwa kuwa wao walishafanya uamuzi juu yako.
sasa ukijifanya kumtongoza binti aliyekufuata kwa busara zako atakuona kumbe huna maana una act tu. na ukijifanya kutumia busara zako kutoa wosia kama mzazi kwa binti aliyekufuata kimapenzi utaonekana wa hovyo.
Kwa hiyo unatakiwa kuzijua ishara zote hizi ili uishi bila msuguano.
Huyo dada aliyekuuliza kwanini hukumtongoza nadhani umeshajua sababu iliyomfanya awe karibu na wewe.
 
nimekusoma mkuu.
asante sana kwa maelezo yako
 
u need to do justice to them...watingoze bwana nd not only that pia ikiwezekana wagegede wote...trust me ukimgegeda mmoja vizuri na kuwa xlose wengine watataka kuona y umemchagua yule na hakikisha wamchukua mbaya kwanza ili wale wazuri wajione sio....hapo guarantee kuwapitia wote

Watu wengne bwana
 
Mara nyingi tunaposoma na kufikia level ya chuo, mbali na kuwa na malengo ya kufaulu mitihani, na pia maisha ya baadaye huwa tunayafikiria.hili likiwa ni pamoja na kutafuta mwenzi wako mtakayeishi naye kama mke na mume mara baada ya kumaliza chuo.wanaume huwa tunachelewa sana kulifikiria hili mpaka tushituliwe kidogo na akina dada.sasa unapokuwa chuoni wakati mwanaume anafikiria hili na akina dada wanafikiri kupata mume, kwa kuwa baada ya kozi hii kinachofuata ni kuanza maisha.
Unaweza ukawa una mchumba wako mlikuwa sekondari pamoja lakini ukifika chuo mawazo yaweza badilika baada ya kukutana na dada wa hapo chuoni, the same applies to ladies.Kwa hiyo ukaribu na akina dada una malengo mengi, aidha kujuana kwa karibu, kuchat tu, kujua tabia za wanaume/wanawake au kutafuta mchumba au rafiki wa kimapenzi.
Kwa hiyo, sio lazima kila dada anayekuwa karibu yako lazima umtongoze, wengine wako karibu yako kutokana na busara ulizonazo au uwezo wako kimasomo na wanahitaji msaada wako ili wafanikiwe.Huenda wengine wanapenda stori zako na ushauri unaotoa kuhusu maisha.na wengine wanajipitisha ili kama hujapata mtu wa kuishi naye ujisemeshe kwa kuwa wao walishafanya uamuzi juu yako.
sasa ukijifanya kumtongoza binti aliyekufuata kwa busara zako atakuona kumbe huna maana una act tu. na ukijifanya kutumia busara zako kutoa wosia kama mzazi kwa binti aliyekufuata kimapenzi utaonekana wa hovyo.
Kwa hiyo unatakiwa kuzijua ishara zote hizi ili uishi bila msuguano.
Huyo dada aliyekuuliza kwanini hukumtongoza nadhani umeshajua sababu iliyomfanya awe karibu na wewe.

Hapo umemaliza kabisa ni yeye tu kuamua kuutumia ushauri au la. big up :yo:
 
Mbona mie na NATA ni marafiki na hatujawahi tongozana...
Watongozanao hao nadhani wanapendana tu.
 
Last edited by a moderator:
Sikushauri kutongoza kila msichana uliye karibu naye at least sio ki wazi. Utawaumiza, maana sio wote unawapenda na huwezi jua wanakufeel vipi.
Tongoza yule tu unayempenda, huko ndiko kukua. Don't be someone else, kwasababu hujui hao maplayers wanalack nini; be yourself na simamia msimamo wako coz ni sahihi na believe there 101 men ambao wangetamani kuwa kama wewe.
 
Back
Top Bottom