Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
- Thread starter
-
- #41
heeee!...we wa wapi? kwani hujui mapenzi ya pesa hayana stress?....nina pesa namuita namdandia weeee nikitosheka nampa pesa yake anaondoka,,,poleni nyie wenye hilo gonjwa la kupenda kwangu mapenzi ni kubanjuana tu vingine vyote ni geresha
G.Jacob haahaaa wazee wa one night stand (hit n run)
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!
Ww utapata ATM yangu.. Mimi napata utu wako... Nani Atakua amepoteza zaidi???
hahahaha vijana stress tupu lakini mzee utaongozana nae vipi kimnana
Huu mtazamo wako umetazama tu au umefanya utafiti mkuu? Alafu hilo jina la mwanasaikolojia ulilojipachika sidhani kama anaweza kuwa na mtazamo wa kikanjanja kama wewe. Ptuuuuu
Unamtanguliza we unanunua vocha kwanza!
Wewe akiyekuambia kugegedwa ni kupoteza utu nani? Toa mawazo mgando hayo!
Mi napata utamu + uchumi!
hahahahaha so kujishaua nae kushikana mikono barabarani ni ngumu lol
Akili zako ndo zimeishia hapo kufikiri siwez kukulaumu, kumbuka hata philosophers wanatoa theories ndo maana nami nikatoa mtazamo wangu, i'm agreat thinker ndo maana nkatumia jina la cognivist huyu
Eeeeh!! shikamooo kama unapata utamu ukigegedwa na kibabu husichokipenda
Umeonaee!! alafu kushikana mikono ni udhungu! Siye wabantu originali!
We mi nshakwambia dolari ikiwa kwa table hata chloroquin hua asali babu wee!
Nimpende ye mamaangu mzazi?
hahahaha vijana stress tupu lakini mzee utaongozana nae vipi kimnana
Hahaha Mmh nimejikuta nacheka mwenyewe.. Kwa style hiyooo ww si unaweza kumfirisi kabisaa hata naniliuuuu ww....
Tunaongozana vizuri, tena mikono kiunoni....!
This is free country bhanaaa.....!
Kawaida mwanaume anatafuta k kwa mwanamke. Mwanamke mara nyingi hana genye kama wanawake, si ajabu anatafuta company au anatafuta mtu wa kumpeleka high table (ndoa) au mwokozi kiuchumi. Hivyo kwa vile ana k inayotafutwa na mwanaume na kama mwanaume anakidhi anavyotafuta kama nilivyoorodhesha they meet and trade. Acha masuala ati age au urefu au kibamia hiyo ni kusadikikakwa hiyo unataka kutuambia kwamba mapenzi ni BIASHARA na kwamba K ni commodity au?
Empty set can't recognized even drawingsMbona pooooovu
Wewe ni great thinker mwenye nyongo nyingi mwilini ndiomaana hauwez ku-accept arguments na criticism badala yake unaona kuwa wenzio hawawezi kufikiri.
A "devil advocate" can make u rethink!!
Hivyo sred yako ni kujihami. Kila wakati kumbuka huwezi kuubadili ulimwengu. Ngoja wakati ufike nawe ufaidi kama wazee wanavyotufaidi. Kwa sasa tafuta na ukishapata utaenjoy na wazuri bado hawajazaliwamimi ni Me, Cognitivism in nature, Love
How bt don't Love what he/she have
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!
Hivyo sred yako ni kujihami. Kila wakati kumbuka huwezi kuubadili ulimwengu. Ngoja wakati ufike nawe ufaidi kama wazee wanavyotufaidi. Kwa sasa tafuta na ukishapata utaenjoy na wazuri bado hawajazaliwa