Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Ina maana wazee hawana haki ya kupendwa? Hakuna mtu anayependa au kupendwa bila sababu..unaweza pendwa kwa sababu ya mambo mengine na pesa hikiwemo. Hata wewe na ujana wako unaweza kupendwa kwa sababu ya pesa yako.........
^^
'...ngoja nizeeke zeeke kwanza pengine nitakuja elewa...' By Mwana F.a
^^
Utu uzima dawa, ujana ugonjwaaa.......!
^^
Ha ha najaribu kuwaza tu, huo ujuzi wa kubembelezwa mnaopewa na wazee, huku pembeni kuna sefu ya pesa, Je umetokana na uzoefu wao wa ujanani?
Eti umejaribu kuwauliza?
^^
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!
Labda kwa sababu wamepitia mengi, wana uzoefu na wanawake, wanatujua nje ndani...wanajua tunataka nini...!
Halafu wengi wanakuwa watulivu....halafu mapenzi yao ni no wivu coz unaingia umejipanga psychologically kuwa ye ana mke...so no kukukorochoa simu kusaka pw...hamna ugomvi wa ajabu ajabu, ukinuna unabembelezwaaajeee!
Full midekezo yaniii!
Wewe ni Me au ke? Maana naona kuna kujihami hapa. Kawaida urafiki ni kama definition ya Umalaya ilivyo 'A ana kitu B anahitaji. B naye ana kitu A anahitaji, wanakutana na kutrade' Hii iwe ni security na k au pesa na k. Bila kuwa na common interest urafiki haupo. Sasa ndugu yangu unapenda free P na ugharamiwe wakati binti anataka pesa ili ajikimu hapo urafiki utakuwepo? Lara 1 njoo pande hiiHi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena.
jamani hao si zaidi ya machangudoa wajipangao barabarani? Maana wenyewe wako open, siyo kama hawa wanaojiuza Indirect.
Tujadili hili kwa ungwana wakuu.
Wewe ni Me au ke? Maana naona kuna kujihami hapa. Kawaida urafiki ni kama definition ya Umalaya ilivyo 'A ana kitu B anahitaji. B naye ana kitu A anahitaji, wanakutana na kutrade' Hii iwe ni security na k au pesa na k. Bila kuwa na common interest urafiki haupo. Sasa ndugu yangu unapenda free P na ugharamiwe wakati binti anataka pesa ili ajikimu hapo urafiki utakuwepo? Lara 1 njoo pande hii
Watu wazima wanajua kubembeleza Wallahi.....yani mtoto unabembelezwa hadi unajiona unapaa..
Mapenzi ya vijana stress tupu, mara kakukaripia, mara kanuna, mara kakupiga...inahuu? Nani asiyetaka utulivu?
Mtuwache jamaniiiii!