Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti๐๐๐๐
Ili uwe mzuri inatakiwa uwe vipi mkuu?Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia.
Ukiwa mzuri halafu unajiamini, unakua hubabaishi hata watu wakikushobokea, mana unajijua ni mzuri na uko busy na mambo yako.
Kwa sasa nimeamua kuwaringia tu, yani sina habari kabisa.
NakaziaWeka ka picha
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHela iliyotumika kukusomesha wewe ni bora ingetumika kununua mbolea tu na kuwapa msaada wakulima.
Huyu si msela kaka๐Hili nalo ni tangazo kwa mlango mwngine.
Wanakuja ila usikaze sana maana muda sii mrefu utaanza kutafuta mwanaume yoyote sifa kuu awe anapumua.
Wanawake mna vituko sana.
Unatulia baada ya sehemu za Siri kuchakazwa na kubakia na uvundi bila kusahau UTI.kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia.
Wengi hawajuagi wao thamani yao ina kipindi fulani, kuanzia balehe pale, akivuta saaana miaka 30+ na hapo awe hana mtoto, akiwa single mama na baba yake yupo hai thamani inazidi kupukutikaSawa ni mzuri lakini ajue uzuri wa mwanamke ni kama maua!! usikaze sana siku moja utajikuta umenyauka!
Mkuu hii ndo avatar nlio kuzoea nayoowa mtengeneza chanjo ya ebora vip? Mbona uko huku badala ya kujifungia maabara? Hahahahhhhahhha! Au ulishaenda kumuona daktari?
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
๐๐๐
๐Joined 2017 huyo atakuwa ni mshangazi anajifariji.