makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,541
Hamna akili za kuishi na sisi, sisi ndio tunaishi na nyinyi kwa akili.Mwanaume nyie ni ndugu mchana tuushi na nyie kwa akili tu
Nyinyi muishi na sisi kwa kutulia ...
Hamna akili za kuishi na sisi, sisi ndio tunaishi na nyinyi kwa akili.Mwanaume nyie ni ndugu mchana tuushi na nyie kwa akili tu
SafiHawawezi kurudiana ni story tu basi
Mnaweza ishi kwa akili, lakini akili hizo za kuishi kwa akili na sisi hamna...Oohh!! Mambo yamebadilika hujui siku hzi wanawake ndo wanaishi na wanaume kwa akili!?.