Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu

Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu

Anatumia ujinga wa WATANZANIA.

time will tell.
 
LOWASA alipokuwa anatangaza nia ya kugombea Urais pale jijini Arusha alisema DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE amefanya kazi nzuri na kubwa wakati wa utawala wake na yeye akipewa ridhaa ya kuiongoza nchi ataendeleza pale alipoishia.

Lakini baada ya kuonekana hafai ndani ya CCM ndipo alipohamia UKAWA na wakati anarudisha fomu kupitia UKAWA alisikika akisema kwamba DR JAKAYA ameharibu uchumi wa nchi yetu!!!!?? SHAME UPON YOU OLD MAN,

Swali sasa , kama aliposema yeye anataka kuendeleza pale DR JAKAYA alipoishia Je alimaanisha alikuwa anataka kuendeleza uharibifu wa uchumi ambao tayari DR JK aliokwisha kufanya?

JAMANI WATANZANIA UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU, WENYE FIKRA NDOGO DAIMA HUDANGANYWA!
Labda tuu umeanza Kumfuatilia Lowassa Juzi
Kama hufikirii kwa Makalio ni wazi utakua unajua
kuwa Lowassa alianza kukosoa Utawala wa
Kikwete mda mrefu hasa na Kauli yake aliyokua
anapenda kuitumia kuwa ''Nchi hii imejaa
walalamikaji tunahitaji maamuzi magumu ili
tusonge mbele"" ndo mwanzo Kikwete
akawatumia akina Makonda na Nape Nnauye
kuwa Mzee kasema ukae naye mbali hata hivyo
Lowassa alijibu kwa kusema kuwa Urafiki wangu
naye haukuanzia Barabarani Ewe Kenge uliyeanza
kufuatilia siasa juzi juzi ni vyema Ukatuliza Puru
lako na Kufuatilia wayasemayo wakongwe.
 
LOWASA alipokuwa anatangaza nia ya kugombea Urais pale jijini Arusha alisema DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE amefanya kazi nzuri na kubwa wakati wa utawala wake na yeye akipewa ridhaa ya kuiongoza nchi ataendeleza pale alipoishia.

Lakini baada ya kuonekana hafai ndani ya CCM ndipo alipohamia UKAWA na wakati anarudisha fomu kupitia UKAWA alisikika akisema kwamba DR JAKAYA ameharibu uchumi wa nchi yetu!!!!?? SHAME UPON YOU OLD MAN,

Swali sasa , kama aliposema yeye anataka kuendeleza pale DR JAKAYA alipoishia Je alimaanisha alikuwa anataka kuendeleza uharibifu wa uchumi ambao tayari DR JK aliokwisha kufanya?

JAMANI WATANZANIA UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU, WENYE FIKRA NDOGO DAIMA HUDANGANYWA!

Ulitaka amponde haliyekua mwenekiti wake wa chama hadharani???? Tumia akili kufikiri na si makamasi...nyie ndo wale wazee mnaotusi na kugombana na wake zenu mbele ya watoto.
 
Aliongea vile ili kikwete amuunge mkono kumbe kikwete mwenyewe bata tu. Lowassa huu ndio wakati wake wa kumchana makavu.
 
Umenena mkuu!
Penye ukweli muongo hujulikana.
Jk juzi kampa jibu stahili.
Lowassa anajigamba kuwa alipokuwa waziri wa maji aliwaondoa City Water na alijenga bomba la maji kwenda Shinyanga.
Lowasa amekuwa akisema hayo kila siku.
Za mwizi ni arobaini!!

JK kasema ukitumwa kazi usijigambe ati umefanya wewe ilhali umetumwa na rais!

Njia ya mwongo ni fupi.

Wewe nawe ni boya pamoja na jk wako..wanapokuwa wanapongezana yeye na magufuli..inakuwaje..jk anamsifu magu kwa utendaji mzuri kwenye mabarabara naye magu anamsifu jk kuwa amefanya kz nzr...my take..ukimtuma mtu akaitekeleza kazi vzr utamsifia kwa kazi yake nzr au utajisifia mwenyewe kwa kumtuma mtu kaifanya kazi vzr..come on. .huyo mtumwa asipoifanya kazi vzr itakuaje? Mtumaji ataendelea kujisifu?..waendelee kutekenyana tu yeye na malocks wake! Ila jk ajue wananchi wana hasira naye vibaya mno..katufikisha pabaya hatutamsamehe!
 
kataa ccm haifai Mzee wangu kaambiwa uduma ya afya bure hadi leo jk anatoka ameshindwa kutoa hâta panadol kwenye zahanat hiyo bure ipo WP sitaki kusikia hii kutu inayoitwa ccm twende lowasa tupo na WW daima
 
alipoingia cdm ameeleweshwa jinsi ccm na jk walivyoboronga na ameelewa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom