Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu

Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu

ADMIRE

Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
29
Reaction score
17
LOWASA alipokuwa anatangaza nia ya kugombea Urais pale jijini Arusha alisema DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE amefanya kazi nzuri na kubwa wakati wa utawala wake na yeye akipewa ridhaa ya kuiongoza nchi ataendeleza pale alipoishia.

Lakini baada ya kuonekana hafai ndani ya CCM ndipo alipohamia UKAWA na wakati anarudisha fomu kupitia UKAWA alisikika akisema kwamba DR JAKAYA ameharibu uchumi wa nchi yetu!!!!?? SHAME UPON YOU OLD MAN,

Swali sasa , kama aliposema yeye anataka kuendeleza pale DR JAKAYA alipoishia Je alimaanisha alikuwa anataka kuendeleza uharibifu wa uchumi ambao tayari DR JK aliokwisha kufanya?

JAMANI WATANZANIA UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU, WENYE FIKRA NDOGO DAIMA HUDANGANYWA!
 
Kwakuwa alikuwa kwenye genge la wezi ccm ilibidi awe mbwa mwitu sasa kavua gamba lazima awaseme wezi boya wewe!
 
Nyumbuuuuuuuu kujeni huku, kuna mtu kashika pembe zenu
 
acha ijinga kama hujui siasa usije humu jamvini,omba ushauri kwa mumeo ndo uje humu
 
Jamani wenzangu wahini na madodoki huku, kuna mtu anaendelea na uchafuzi, team dodoki jamani wahini Niko Pelé yangu wananizidi
 
Inabidi mtoa mada uwena kumbukumbu, jk alipongezwa kwa kufanyakazi nzuri ndani ya chama si vinginevyo
 
Hizi ni picha za leo Unguja,Kupasua ngome ya CCM Unguja ili S S Hamad ashinde kwa zaidi ya 58%,Pemba hakuna shaka ni ngome nzito ya CUF ambayo CCM walishindwa kuibomoa toka kipindi cha Mwalimu JK.
 
Attachments

  • 1439824478693.jpg
    1439824478693.jpg
    15.1 KB · Views: 318
ndivo siasa ilivo,tatizo hujakua bado,kuna wkt mwalimu aliikataa nyumba alopewa na serikali kwa nguvu sana ila badae aliiomba tena,je tumfananishe na nani hapa? hamuwezi kuzuia mabadiliko tens TEAM lowassa
 
Last edited by a moderator:
LOWASA alipokuwa anatangaza nia ya kugombea Urais pale jijini Arusha alisema DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE amefanya kazi nzuri na kubwa wakati wa utawala wake na yeye akipewa ridhaa ya kuiongoza nchi ataendeleza pale alipoishia. Lakini baada ya kuonekana hafai ndani ya CCM ndipo alipohamia UKAWA na wakati anarudisha fomu kupitia UKAWA alisikika akisema kwamba DR JAKAYA ameharibu uchumi wa nchi yetu!!!!?? SHAME UPON YOU OLD MAN,

Swali sasa , kama aliposema yeye anataka kuendeleza pale DR JAKAYA alipoishia Je alimaanisha alikuwa anataka kuendeleza uharibifu wa uchumi ambao tayari DR JK aliokwisha kufanya??? JAMANI WATANZANIA UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU..... WENYE FIKRA NDOGO DAIMA HUDANGANYWA

Labda tuu umeanza Kumfuatilia Lowassa Juzi Kama hufikirii kwa Makalio ni wazi utakua unajua kuwa Lowassa alianza kukosoa Utawala wa Kikwete mda mrefu hasa na Kauli yake aliyokua anapenda kuitumia kuwa ''Nchi hii imejaa walalamikaji tunahitaji maamuzi magumu ili tusonge mbele"" ndo mwanzo Kikwete akawatumia akina Makonda na Nape Nnauye kuwa Mzee kasema ukae naye mbali hata hivyo Lowassa alijibu kwa kusema kuwa Urafiki wangu naye haukuanzia Barabarani Ewe Kenge uliyeanza kufuatilia siasa juzi juzi ni vyema Ukatuliza Puru lako na Kufuatilia wayasemayo wakongwe.
 
LOWASA alipokuwa anatangaza nia ya kugombea Urais pale jijini Arusha alisema DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE amefanya kazi nzuri na kubwa wakati wa utawala wake na yeye akipewa ridhaa ya kuiongoza nchi ataendeleza pale alipoishia.

Lakini baada ya kuonekana hafai ndani ya CCM ndipo alipohamia UKAWA na wakati anarudisha fomu kupitia UKAWA alisikika akisema kwamba DR JAKAYA ameharibu uchumi wa nchi yetu!!!!?? SHAME UPON YOU OLD MAN,

Swali sasa , kama aliposema yeye anataka kuendeleza pale DR JAKAYA alipoishia Je alimaanisha alikuwa anataka kuendeleza uharibifu wa uchumi ambao tayari DR JK aliokwisha kufanya?

JAMANI WATANZANIA UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU, WENYE FIKRA NDOGO DAIMA HUDANGANYWA!
Umenena mkuu!
Penye ukweli muongo hujulikana.
Jk juzi kampa jibu stahili.
Lowassa anajigamba kuwa alipokuwa waziri wa maji aliwaondoa City Water na alijenga bomba la maji kwenda Shinyanga.
Lowasa amekuwa akisema hayo kila siku.
Za mwizi ni arobaini!!

JK kasema ukitumwa kazi usijigambe ati umefanya wewe ilhali umetumwa na rais!

Njia ya mwongo ni fupi.
 
Sasa mbona penye uzuri ndipo mnaposema "Rais amemtuma" lakini inapofika kwenye mikataba mibovu Rais akuhusika?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom