Ukiwa masikini ukifa unaonekana umekufa tu, lakini ukiwa tajiri unaonekana umekufa kweli

anti-Glazer

JF-Expert Member
Apr 13, 2023
291
478
Hbari za wakati huu.

Ni katika falsafa zangu binafsi naona kabisa maisha ni magumu sana ukiwa hai na ukifa ni magumu vilevile.

Kuna watu wanapokuwa hapa duniani ni dhahiri hatufanani. Hats m apotangukia mbele ya haki mnakuwa tofauti sana.

Uwepo wa wazaz wetu wapenz, wanapotuhudumia na wakatoweka Ina athari sana akilin, lkn pia anapokuwa amefariki na Hana jambo la kumtafakari inakuwa kama hayupo TU.

Paamojaa na ukweli kwamba mzee magufuli aliganya mengi na Yale yaliyowaumiza wengine ataonekana hayupo na hayupo kweli.

Ukisoma kitabu Cha mzee mengi utaona kweli yule Mzee hayupo na amefariki.

Kwetu sisi wananchi tunapokuwa masikini ukifa unaonekana umekufa tu, lakini ukiwa tajiri kama kina mzee Mengi unaonekana umekufa kweli.
 
Ni suala la mda tuu hata hlo jina la Mengi hutalisikia , Kifo ni adui mbaya mno wa Binadamu , ukifa unapoteza kila kitu duniani , hutapata chochote , wala ya duniani hayatakusaidia chochote , unabaki mzoga na kuoza , hapo ndo masuala ya imani yanatake over , masuala ya ufufuo sku ya mwisho na mengineyo ... Ambayo kimsingi kipind unaishi huwa yanaonekana too local
 
Kufa ni kufa haijalishi unaonekanaje.Yaan ukifa na habari yako kwisha....ulichovujia jasho watatumia vibaya nduguzo huku wanao wakiangaika.Tuishi tu ila ndo ivo hatuna thamani kama tujihesabiavyo😉
 
Ninapoishi na watu labda Sasa Sina haja ya kuwa wema kwao, so what!

Yule Mzee aliyewaachia urith wanae kwamba nyumba yake amefukia pesa marundo ya pesa, akifa wabomoe wachukue. Namuona kafanys vema. Aliwaachia watoto kumbukumbu safi.

Walivyobomoa kikabaki kiwanja. Pambafu
 
Ni mtu pekee Tanzania hii Tajiri aliyewajali masikini na Walemavu.
Walemavu kila kipindi mwaka walikuwa wanaandaliwa Kama sio chakula ya mchana basi usiku au kasherehe ka aina yake na kuwapa MOYO kuwa na ninyi ni binadamu msione ulemavu mlio nao na kuwakatisha Tamaa.
Na maisha yanaenda.

Leo hiyo kitu imeenda na kwenda Naye.
Wanalipwa matajiri Kwa matajiri hata kipindi chote ya mfungo hakuna aliyejali hata kuwaalika Futari, tumeona Futari kwenda Kwa wenye nacho!
Ama kweli mwenye nacho ataongezewa.

Ulale pema mzee wetu Mengi ulikuwa jembe.
 
Ni suala la mda tuu hata hlo jina la Mengi hutalisikia , Kifo ni adui mbaya mno wa Binadamu , ukifa unapoteza kila kitu duniani , hutapata chochote , wala ya duniani hayatakusaidia chochote , unabaki mzoga na kuoza , hapo ndo masuala ya imani yanatake over , masuala ya ufufuo sku ya mwisho na mengineyo ... Ambayo kimsingi kipind unaishi huwa yanaonekana too local

Jina lake haliwezi kufutika, why ameacha mali na alama nyingi in his name. Na hivyo ndio vinamfanya atajwe mara kwa mara. Unless alivyo viacha vifutike
 
Hbari za wakati huu.

Ni katika falsafa zangu binafsi naona kabisa maisha ni magumu sana ukiwa hai na ukifa ni magumu vilevile.

Kuna watu wanapokuwa hapa duniani ni dhahiri hatufanani. Hats m apotangukia mbele ya haki mnakuwa tofauti sana.

Uwepo wa wazaz wetu wapenz, wanapotuhudumia na wakatoweka Ina athari sana akilin, lkn pia anapokuwa amefariki na Hana jambo la kumtafakari inakuwa kama hayupo TU.

Paamojaa na ukweli kwamba mzee magufuli aliganya mengi na Yale yaliyowaumiza wengine ataonekana hayupo na hayupo kweli.

Ukisoma kitabu Cha mzee mengi utaona kweli yule Mzee hayupo na amefariki.

Kwetu sisi wananchi tunapokuwa masikini ukifa unaonekana umekufa tu, lakini ukiwa tajiri kama kina mzee Mengi unaonekana umekufa kweli.
Nini tafsiri yako,ya kufa tuu na kufa kweli.Tusaidie kuelewa unaongelea katika muktadha upi🤔
 
Hbari za wakati huu.

Ni katika falsafa zangu binafsi naona kabisa maisha ni magumu sana ukiwa hai na ukifa ni magumu vilevile.

Kuna watu wanapokuwa hapa duniani ni dhahiri hatufanani. Hats m apotangukia mbele ya haki mnakuwa tofauti sana.

Uwepo wa wazaz wetu wapenz, wanapotuhudumia na wakatoweka Ina athari sana akilin, lkn pia anapokuwa amefariki na Hana jambo la kumtafakari inakuwa kama hayupo TU.

Paamojaa na ukweli kwamba mzee magufuli aliganya mengi na Yale yaliyowaumiza wengine ataonekana hayupo na hayupo kweli.

Ukisoma kitabu Cha mzee mengi utaona kweli yule Mzee hayupo na amefariki.

Kwetu sisi wananchi tunapokuwa masikini ukifa unaonekana umekufa tu, lakini ukiwa tajiri kama kina mzee Mengi unaonekana umekufa kweli.
Wewe unachekesha kweli yaani Jina la Mengi huwezi kulilinganisha na jina la Magufuli hata siku moja! Mugafuli alikuwa mwanasiasa na Rais kamini Mengi alikuwa mfanya biashara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom