Ukiwa kwenye daladala achana na simu dada, hutaolewa!

Kwenye hii thread mkuu Sexless umekuwa mwanamke. Maana wewe kuna wakati unaandika wewe ni mwanamme, mara nyingine ni mwanamke!!!!
amewasahau na wale wanaofunga pm,sijui wanaogopa nini...teh teh eteh teh!!
 
.....Kufumba na kufumbua umri unagonga 35 na unaanza kupewa majina ya ajabu ajabu kama kiporo, makombo nk........

Ha ha haaa haaa! Umenikumbusha jina la "MANUNGAYEMBE"
 
Kuna majina ya kila aina
 
Back
Top Bottom