Ukiwa kwenye daladala achana na simu dada, hutaolewa!

Ukiwa kwenye daladala achana na simu dada, hutaolewa!

Kwenye hii thread mkuu Sexless umekuwa mwanamke. Maana wewe kuna wakati unaandika wewe ni mwanamme, mara nyingine ni mwanamke!!!!
 
Alikwambia anataka kutathmiwa? Ukute anaemueka mjini ndo anamkeep buzy na hiyo simu... Sio kila mwanamke anataka kutongozwa...
Kama anaye haina shida
 
Ushauri wako siyo nzuri,wengine tunapambana nao huku pm!

Na huwa nasikitika sana mdada akiniignore huko pm!
 
Hizo simu wengine wako bize Nazo kwenye watu wengi kukabiliana na aibu zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm nikiwa sna kazi bora niwe busy na Jf sku hizi hata kwenye makundi ya wasichana unafiki siendi wananion nimebadilika hawajui kama nipo busy kuchota madin jf
 
Back
Top Bottom