Hawapendi kuchanwa.Uzi unaotoa ngumi za uso kuna kuu-like hapo mkuu,,,, ujue jiwe limepiga wengi
mina [emoji8]Humo kwenye simu ndo tunawapata wengi kuliko kwenye maeneo uliyoyataja!!!!
Tunapenda,l na tunayapokea kimya kimyaHawapendi kuchanwa.
Cha msingi mlipokee kwa mikono miwili. Afu nilikuwa sijang'amua kama na wewe ni she.Tunapenda,l na tunayapokea kimya kimya
Duuu!Cha msingi mlipokee kwa mikono miwili. Afu nilikuwa sijang'amua kama na wewe ni she.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mm kuchat jamiiforum ndo kumenipa mme haya hao ambao hawaolewi hawana nyotaaaa.
WA KWENYE CM HADI UJE UMFAHAMU TOO LATE ILA KWENYE DALADALA MNAMALIZANA UNAONDOKA NA JIBU KABISA,HVY ACHENI UBISHI ZINGATIENI USHAURIHumo kwenye simu ndo tunawapata wengi kuliko kwenye maeneo uliyoyataja!!!!
Swadakta mkuu...WA KWENYE CM HADI UJE UMFAHAMU TOO LATE ILA KWENYE DALADALA MNAMALIZANA UNAONDOKA NA JIBU KABISA,HVY ACHENI UBISHI ZINGATIENI USHAURI
salama tu wifiii au nakosea mm kuchat ndo kuliponipa amani ya moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Habari ya wewe wifi
Sexless uko wapi leo ule nyama kilo unazotaka. Gharama zote nalipia.Umekaa kwenye siti au umesimama ndani ya daladala jirani kabisa na mkaka lkn muda wote upo bize kuhama toka social network moja kwenda nyingine mpk mwisho wa safari. Hata salamu hujatoa na hata mkaka kukupa salamu kashindwa kwa jinsi ulivyo bize.
Vidole vinatabasamu lkn sura inazidi kukunjamana kwasabb ya kufuatilia maandishi kwenye screen ya simu. Unatoka mwanzo wa safari mpk unafika huinui uso wako wala kufungua kinywa chako ukaonekana ili mkaka akutathmini kama unafaa kwa sura ama maneno yako. Upo kimyaa kama mhamiaji haramu toka Ethiopia.
Ukifika unapoenda, unaendeleza ubize kwenye simu.
.
Unatoka na marafiki zako wa kike kwenda maeneo ya starehe ukifika huko badala ya kuizungusha sura yako ionekane na wakaka, ama ukarusha kicheko na kuonesha meno yako upo bize tu na simu.
Unaenda harusini, ama kwene send off party ukifika ukumbini uso unauelekeza kwenye simu.
Kufumba na kufumbua umri unagonga 35 na unaanza kupewa majna ya ajabu ajabu kama kiporo, makombo n.k.
Hapo sasa ndiyo unaanza kustuka na kuamua kuoa badala ya kuolewa. Unamganda mwanaume akuoe mpk unajilipia mahari mwenyewe.
Hivyo wito wangu kwenu mashosti zangu tupunguze matumizi ya simu. Simu itumie ukiwa peke yako nyumbani kwako. Ili wenye kukuona wakuone. Tabasamu na kila MTU.
Hahaha! ShukuraniSexless uko wapi leo ule nyama kilo unazotaka. Gharama zote nalipia.
Ndo majina wanaopewa wadada wenye 35+ ambao bado hawajaolewa.Eti makombo...dah
dah ila hiyo avatar inanitia majaribuni..!!nisadie kukemea shetani ashindwe..Mm kuchat jamiiforum ndo kumenipa mme haya hao ambao hawaolewi hawana nyotaaaa.