Shayan Zeroplanet
Member
- Aug 13, 2013
- 12
- 3
MPENZI wako anakutembelea Home kwa kushtukiza.
mfukoni Una Mia sita Tu, unaamua kumchukulia
cocacola moja ili asione kama huna kitu. Alafu
wewe unaamua kuchukua chupa ya Sprite
unajaza maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile chupa ya sprite
(mpenzi wako anadhani unakunywa soda)
Wakati mkiendelea kunywa, uku mkiwa na furaha mpenzi wako anakwambia
mbadilishane vinywaji.....