Ukiwa kama mjanja,.,.. HUU MSALA UNAUSOVU VP?

Ukiwa kama mjanja,.,.. HUU MSALA UNAUSOVU VP?

Mazingira ndo hayo hayo uliyopewa,sasa useme unaelewa anapenda kinywaji gani wakati anaona unakunywa sprite(maji) na hiyo hiyo ndo anaitaka,alafu wakati unanunua hukuliwaza hili.
Eti hapendi,hujaambiwa kama hapendi ama hawezi kuinywa sprite,kifupi anaitaka hiyo sprite iwe anaipenda ama haipendi yeye si ndo kaamua.
Mkuu aliyeanzisha mada hii alisema, nanukuu "nitamwambia ndani ya hiyo soda nimechanganya na kiroba". Mwisho wa kunukuu.

Kuanzia hapo ndiyo wadau wakaanza kuchangia hivyo tulivyokuwa tunachangia. Hoja ya kutumia sababu y akinywaji asichopenda haikuanzia kwenye soda tu bali baada ya mtoa hoja kuleta hilo hapo juu.
 
"Puppy" mchangiaji wa kwanza ndo kajibu hivyo na mwenye uzi "shayan zeroplanet" hajajibu chochote mpaka sasa.
Soma tena mada upya mana hujaelewa na zaidi umechanganya mambo
 
Namwambia nimechanganyia Kiroba Original

kama nae anakunywa kiroba si ndo ngoma isambe?Na pengine umefungua chupa mbele yake sasa kiroba kinatoka wapi?Ama anakwambia lete hivyo hivyo.
Wacha majibu yanaweza ku-complicate zaidi stuation.
Mkuu umeambiwa hakuwa na uwezo wa soda mbili, alimnunulia my waifu wake tu, yeye akachukua chupa tupu ya Sprite akaweka maji.

Ndiyo Puppy akasema kama akitaka kubadilishana vinywaji aseme amechanganya na kiroba ili my waifu wake ashindwe kuinywa. Ndiyo maana nikasema, inatgemea pia kama umeshamsoma my waifu wako anapendelea nini na hapendi kutumia kinwaji gani.
 
Kwa kweli numecheka sana thanks mtoa mada na wengine mliochangia nimecheka mnoo loooh
Hilo laweza mkuta yeyote yule na hakuna anayependa fedheha ya kuonakana hana hela hivyo binadamu huwa tunajaribu kuwa wakarimu bila upande wa pili kugundua siri tuliyoificha.
My take: Aende kwa mangi akakope hiyo soda ingine ili wanywe wote na hapo akiombwa kubadilishana atabadili bila hiyana maana wote watakuwa wanakunywa soda. Ila hii ita work iwapo kwa mangi hatakuwa na madeni ya nyuma.
Pia anaweza nunua soda hiyohiyo moja ya mgeni kisha yeye akajitetea kuwa kabla mgeni wake hajaja alishakunywa soda so kuonesha mapenz aidha wagawane ile soda au mgeni anywe soda na yeye anywe maji ambayo ameyachemsha home kwake na si ya kununua. Vinginevyo ndo hivyo unabugia kama dawayote kisha unampa chupa tupu hahahahahahaaaaaaaaaaa
 
Unamwambia huku nimeweka maji kwa sababu nilikuwa na 600 tu ya kukuchulia soda ww
 
Mkuu umeambiwa hakuw ana uwezo wa soda mbili, alimnunulia my waifu wake tu, yeye akachukua chupa tupu ya Sprite akaweka maji.

Ndiyo Puppy akasema kama akitaka kubadilishana vinywaji aseme amechanganya na kiroba ili my waifu wake ashindwe kuinywa. Ndiyo maana nikasema, inatgemea pia kama umeshamsoma my waifu wako anapendelea nini na hapendi kutumia kinwaji gani.
HAPA HATUJIBU KWA CONCERN YA PUPPY.na kama demu wake hatumii kiroba na yeye anatumia basi hii ni assumption ya mazingira na hapa majibu yaweza kuwa mengi,ILA MIMI NIMETOA JIBU LISILOANGALIA AINA YA DEMU.
Kumbuka mazingira yaliyoelezwa yametokana na kukosekana hela,KWANZA HIYO SODA KANUNUA KWA SABABU NDO KITU PEKEE ANGEWEZA KUNUNUA,kwa mkutadha huu inawezekana pia anatumia kilevi ila kwa sababu jamaa hakuwa na hela ndo akaona angalau aue soo,ukisema kuna kiroba wakati hata yeye kinapanda si bado atataka?Ukisema ushamsoma wakati ameamua na uamuzi ni wake si bado ataitaka soda yako?Hapo bado unaweza kamatika.
 
Hii kitu hii kitu,hapo nafanya kama natania kima-mapenzi penzi,nahesabu moja,mbili,tatu,then naibugia chupa na kunywa maji yote moja kwa moja bila kusimama na hivi hayana hata gesi,nikishusha chupa nyeupeee yani iko empty yani maji yote kwishinei,yapo ndani ya tumbo,alafu maelezo mengine nitajibu ila chupa ikiwa empty.

Mkuu uko juu!Mawazo mazuri sana,mngekuwa kama kumi hivi nchi hii ingekuwa mbali kwa maendeleo!
Wawekezaji,kufumba na kufumbua umeishabadilisha mkataba kuwa on our favour,then wanapiga sahihi kama hakuna kilichotokea!!!Teteheee
 
Ha ha ha ha ha
 
HAPA HATUJIBU KWA CONCERN YA PUPPY.na kama demu wake hatumii kiroba na yeye anatumia basi hii ni assumption ya mazingira na hapa majibu yaweza kuwa mengi,ILA MIMI NIMETOA JIBU LISILOANGALIA AINA YA DEMU.
Kumbuka mazingira yaliyoelezwa yametokana na kukosekana hela,KWANZA HIYO SODA KANUNUA KWA SABABU NDO KITU PEKEE ANGEWEZA KUNUNUA,kwa mkutadha huu inawezekana pia anatumia kilevi ila kwa sababu jamaa hakuwa na hela ndo akaona angalau aue soo,ukisema kuna kiroba wakati hata yeye kinapanda si bado atataka?Ukisema ushamsoma wakati ameamua na uamuzi ni wake si bado ataitaka soda yako?Hapo bado unaweza kamatika.
Well said. Ungesoma vizuru kabla ya kueleza hivyo hata mimi nilikuwa nachangia post iliyomjibu Puppy. Na wala sio ajabu hoja kuzaa hoja na wadau kuanza kujibu hoja ya pili kwanza kabla ya kurudi kwenye hoja mama.

Kama wewe hujibu kwa concern ya Puppy basi indekuwa busara kama ungesoma post yake na kuipotezea na wala usingekua na haja ya kuichangia. Endelea na uzi wa shayan zeroplanet.
 
Namwambia nimechanganyia Kiroba Original

kama nae anakunywa kiroba si ndo ngoma isambe?Na pengine umefungua chupa mbele yake sasa kiroba kinatoka wapi?Ama anakwambia lete hivyo hivyo.
Wacha majibu yanaweza ku-complicate zaidi stuation.

Pengine anamuelewa mpenzi wake hatumii hicho kinywaji (Yaani Konyagi).

Hilo jibu laweza kumuumbua kuliko kumsaidia.

Unajua mkuu kila mwanaume anakuwa anamuelewa mpenzi wake anatumia kinywaji gani na hapendi kinywaji gani. Hapo ndipo unatumia mwanya huo kumuepuka. Vinginevyo labda kama umeanza naye mahusiano siku hiyo hiyo.

Mazingira ndo hayo hayo uliyopewa,sasa useme unaelewa anapenda kinywaji gani wakati anaona unakunywa sprite(maji) na hiyo hiyo ndo anaitaka,alafu wakati unanunua hukuliwaza hili.
Eti hapendi,hujaambiwa kama hapendi ama hawezi kuinywa sprite,kifupi anaitaka hiyo sprite iwe anaipenda ama haipendi yeye si ndo kaamua.
Sasa hapa nani mgumu wa kuelewa kama siyo wewe? Umeshaambiwa huyo mwana dada akitaka hiyo Sprite ataambiwa imechanganywa na Kiroba Orijino na sio SODA ya Sprite pekee, anza mwanzo wa uzi wa Puppy uelewe mtiririko wa majibu ya wenzio sio kukurupuka tu.

Hapo kwenye bluu, labda kama msichana wako wewe anakunywa kila aina ya kinywaji duniani hata kama ukimwambia kimechanganywa na sumu haogopi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom