WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
umesahau kama kuna kikao dodoma leo? think! wiselady think
Nimejaribu kuthink loud lkn cjapata majibu,,aende Dodoma kwani c waziri kapigwa kibuti?
Hii sredi ni kwa ajili ya mawaziri hata ukiwa mbunge hauruhusiwi kutia maguu hapa klorokwin hakikisha ni mawaziri tu hapa wiselady na lizzy ni manaibu waziri?
Toa ushirikiano wa kumtafuta Garmii maana nae kule kakimbia nyumba