Ukiwa JF acha ujinga

Hii thread imeniletea Headche..... Huyu mdada ndiye aliye sema JF ni kuzuri kuliko Facebook sasa anataka kuingeuza JF kuwa kama FB ambaye yeye mwenyewe alisema kule kuna utoto mwingi...

Na imani utakuwa ni mdada ambaye unajitambaua na ambaye unajua kukabiliana na chagamoto mbali mbali, ina kuwaje una tishika na mtu usiye mja na ambaye hakujui? mpotezee tafadhali, ikiwezekana Block PM zako mtu yoyote Hasiweze kukutumia kama unaona unapata usumbufu.
 
Hapa hakuna cha uzuri wowote! Huna uzuri wowote! Unaweka mpicha wako umepiga mipicha ya ajabu ajabu unategemea nini? Ulichokitafuta umekipata sasa lawama za nini? "Eti Waziri" mambo yako ya Pm yana2husu nini sisi? Cjui hta ni nani alikufundisha ku-click manake bdo unaonekana mshamba! PM Manake kila ki2 unamaliza wewe mwenyewe! Cha ajabu ni nini? Kwani hujawah kutongozwa? Na ulipotongozwa ulianika huo mtongozo wako kwenye JF? Nadhan wewe unatangaza NIA kupitia huo m-picha wako! Shame on u! Shiit!
 
Hahahahaha! Hii nayo kali.
Mwambie akabadilishe maisha ya wafanyakazi wa wizara yake kwanza.
 
Waziri gani atamtongoza nazjaz bana?, watu wanaoteshwa vikombe huyu kaoteshwa anatongozwa na waziri. haujatongozwa bana, anaetongozwa hasemi.

halafu wewe sio waziri kweli. Mbona hii pm uliyoni2mia sahv imekaa kimtongozo tongozo.
 
Humu JF atakuwa ni Waziri kivuli. Wala haishangazi si katibu mkuu tunaona mambo yake.
 
Nimekugongea THANKS ya ukwel, unakunywa knywaji gn nku2mie kwnye PM? Ila mi co waziri. Ubarikiwe sana!
Nadhani wewe unataka kujitangaza tu kuwa wewe ni lady na kwamba kuna watu wanakutaka. Umeambiwa mambo ya PM hayawekwi hapa, mkatalie huko huko kwenye PM, kama akikukosea haki mshitaki kwa mods huko huko kimya kimya. Mnajaza mathread na kusababisha thread za maana kuingia kwenye second page etc. Sio kila mtu anatafuta wanawake humu, acha upuuzi.
 
Bonge la THANKS mkuu wangu!
Hapa hakuna cha uzuri wowote! Huna uzuri wowote! Unaweka mpicha wako umepiga mipicha ya ajabu ajabu unategemea nini? Ulichokitafuta umekipata sasa lawama za nini? "Eti Waziri" mambo yako ya Pm yana2husu nini sisi? Cjui hta ni nani alikufundisha ku-click manake bdo unaonekana mshamba! PM Manake kila ki2 unamaliza wewe mwenyewe! Cha ajabu ni nini? Kwani hujawah kutongozwa? Na ulipotongozwa ulianika huo mtongozo wako kwenye JF? Nadhan wewe unatangaza NIA kupitia huo m-picha wako! Shame on u! Shiit!
 
Kwe, kwe, kwe! Nlikuwa nmenuna toka jana uck, kwa mara ya kwnza umenfanya ncheke mpk kumoyo! Nimeipenda hii! Thanx sana.
Waziri gani atamtongoza nazjaz bana?, watu wanaoteshwa vikombe huyu kaoteshwa anatongozwa na waziri. haujatongozwa bana, anaetongozwa hasemi.
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
Samahani Nazjaz,nakuuliza jambo moja... hivi ingetokeo kwa wewe kumkubali huyo waziri na mkakubaliana mambo yenu na mkafanya na matusi (sic*). J ungeanzisha thread na kutuhabarisha kuwa waziri kakutongoza na umemkubali na mshafanya na mambo yenu yale... (sic*), ila umtaji jina kwa usalama wako na wake au uneipotezea tu kivyako vyako...!?

Nauliza tu Nazjaz, maana karibia wadada wengi wakitongozwa na wakakubalina na ilo tongozo huwa hawatangazi hukaa kimya, labda kwa mashoga zao wa karibu tu ndio wataambiwa, lakini mara nyingi tangazo linawekwa tu pale wanapotongozwa na kuwakataa hao watongozaji...!

Nashindwa kuelewa kabisa!
 
Ama kwel JF ni kisima cha BURUDANI! Huyo wazir mwajuana then watuletea masifa hpa. Kajuaje jinsia yko? Story zngne bana, za watoto wa chekechea!
 
Ama kwel JF ni kisima cha BURUDANI! Huyo wazir mwajuana then watuletea masifa hpa. Kajuaje jinsia yko? Story zngne bana, za watoto wa chekechea!
nazjaz badala apeperushe lisred la kutafuta mchumba mashart awe waziri yeye anaremba remba. Haoni mwenzie nani nani yule kamtokea halima mdee hewani.
 
Hapo chacha! Et ooh wazr kantokea, wanaotokewa hawasemagi bana, ye atangaze anatafta mchumba 2tamwelewa, yan huyu nazjaj ni bonge la mshamba, hajui hta kufnya promo. Ila hatarudia tn kuleta story za kwnye ndoto humu Jf. Amenikera huyu!

sahizi atakuwa anaview kama guest. Dah! Kama ni mimi sirudi ng'o.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom