Ukiwa JF acha ujinga

Duh! nina siku nyingi sijanyuka tongozo!
Nahisi skills zishakuwa butu, Kloro nikumbushe abc
 
hii sredi ni ya mawaziri bana! kama wewe ni diwani tafta sredi nyengine haraka. hapa hatudili na alfabeti, tunadili na ma vyeo tu.
 
msafara wa mamba huwakosi mijusi, mtendaji wa kitongoji niponee wapi?
ila kuna ka-mwl ka chekechea hapa.......
 
Vp huyo wazir ndo ww nn? Pili2 ya shamba yakuwashia nini? Ulitaka 2mshauri nini ili moyo wako upate faraja???
nimeguswa mie? au nyie mpaka mkapomoleshea maneno kama mama mwenye nyumba alienyimwa kodi.....:bored::A S 2152:
 
Namtafuta mwenye hii useful sred,,,ze fainesti na tablet do ze needful ASAP
 
Hii sredi ni kwa ajili ya mawaziri hata ukiwa mbunge hauruhusiwi kutia maguu hapa klorokwin hakikisha ni mawaziri tu hapa wiselady na lizzy ni manaibu waziri?
 
Kwani hujui kwamba mimi ndo nlimtumia Naz PM kumzingua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom