sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Ntashukuru sana. Ila kloro kaniambia km cjaelewa niseme Amen inatosha!
Ngoja nikachukue kamusi ya kiswahili-kiingereza
Ngoja nikachukue kamusi ya kiswahili-kiingereza
Hongera mwaya...mi hata nikitekenywa leo sicheki!
Kweli kabisa WaziriNadhani sheria za JF haziruhusu kuleta mambo ya PieM jukwaani!
Nadhani sheria za JF haziruhusu kuleta mambo ya PieM jukwaani!
Mhandisi hebu angalia join date yake ndio utajua kama ni mgeni au mgeni mwenyejiSince she's obviously new here, you could as well tell her kindly and not making an issue out of it while at it..kuna mmoja hapo chini mpaka katukana...let the lady be..mbona mimi hainisumbui hata akisema anatakwa na Obama its her giving out her wishlist albeit loudly..kwa kumsaidia tumfahamishe tu utaratibu, thts all fellas
Mhandisi hebu angalia join date yake ndio utajua kama ni mgeni au mgeni mwenyeji
H
Well binafsi sijasema chochote kuhusu thread yake so replace the word you with they maana its almost as if you are adressing me!Since she's obviously new here, you could as well tell her kindly and not making an issue out of it while at it..kuna mmoja hapo chini mpaka katukana...let the lady be..mbona mimi hainisumbui hata akisema anatakwa na Obama its her giving out her wishlist albeit loudly..kwa kumsaidia tumfahamishe tu utaratibu, thts all fellas
Since she's obviously new here, you could as well tell her kindly and not making an issue out of it while at it..kuna mmoja hapo chini mpaka katukana...let the lady be..mbona mimi hainisumbui hata akisema anatakwa na Obama its her giving out her wishlist albeit loudly..kwa kumsaidia tumfahamishe tu utaratibu, thts all fellas
Kweli kabisa Waziri
Tatzo anatujazia nafasi. Sredi za maana zinapelekwa ma page mengine. Anajua akifanyacho wala ucmhurumie, amepata alchokitaka na am sure hatarudia tena kututia majaribuni!
ooh, pole! Nini tatzo? Hujapata waziri wa kuku PM weye! Cheka kdgo bana, utazeeka mapema! Shaur yko.
Nasubiri mwaliko wako wa kwenda kumuona Nazjaz namsubiria balozi wa nyumba kumi klorokwin aje.Enhe lete habari zaidi waziri mwenza!
Ntajitahidi kucheka mpendwa..nisije nikazeeka nikakosa mume au hata waziri wa kuniPieM!
Nasubiri mwaliko wako wa kwenda kumuona Nazjaz namsubiria balozi wa nyumba kumi klorokwin aje.
Nasubiri mwaliko wako wa kwenda kumuona Nazjaz namsubiria balozi wa nyumba kumi klorokwin aje.
Hebu andaa na lile VX tumpelekee kama zawadiJipange twende nikamwombe radhi kwa kumsababishia haya yote.Kloro kapata kazi ya ulinzi!Mpaka kesho tena!
Nafikiri atakuwa ameenda mjengoniKwani yuko wapi huyu Nazjaz jaman? Naombeni na mimi mnialike nkamwone.
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
Pole Nazjaz, though this wasn't meant for the public,
But I just can't understand a small crowd of JF 'IT GROUP' who always are licenced to either tarnish or florish whoever they wish, and sadly if either of them in that group gives a low opinion, they will sugarcoat it to look nice 'oh why r u angry today babu...'
Guys please...let the lady be, she want to howl to the world as long as she hasn't broken any JF rules..nor has she offended anyone ...she has same thread and priviledge rights..it IRKS me to see people taken apart by same group in almost every single thread..give this lady a break fellas!! And if you don't like it, go to other threads and rant aLl u want!
Peace
Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme..safarini Mpanda