Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,315
- 55,720
😁😁😁Vijana mpo obsessed sana na mishangazi aiseeeMkuu usidate na mshangazi ambaye Ni " Liability" Yaani yupo yupo tu anataka umhudie mpaka hela ya bundle.
Tafuta mshangazi ambaye anajishughulisha na chochote aidha saloon au genge.
Don't date a Liability bro.